Uncategorized

BO BO BO BONGEEEEE LA HIPS!!

By  | 

 Wakati wengine tukihangaika kupunguza mwili bibie Mikel Ruffinelli mama wa watoto wanne hana habari.Anabonge la hips na yuko proud nalo na inasemekana akawa mwanamke mwenye hipsi kubwa kuliko wote duniani.Tusijichanganye haijasemekana makalio makubwa bali hips kubwa.

 Mikel Ruffinelli akiwa a mumewe ambae anafurahia sana umbo hilo la mkewe
Reggie Brooks wote wa nchini Mrekani.Japo anapata shida kukaa kwenye siti ya gari au kwenye vyombo vya usafiri,kiti wakati mwingine kwenye kupita mlangoni walaaa hana wasiwasi.
Kitu kingine anapenda kula sana na anahamu ya kula ya hatari si mwenyewe unaona jikoni akiandaa maakuli.Zamani alikuwa akisumbuka sana kudiet ili kupungua lakini haikumsaidia ila sasa amejikubali na ana furaha na mwili wake.

13 Comments

 1. Anonymous

  January 22, 2013 at 9:07 pm

  MUNGU ANISITIRI JAMANI. HUO BAADA YA MIAK 4 KIFO AU KILEMA MWENYE UWEZO AINDE MZOEZIN ASO NAO ATEMBEE SANA KILA SIKU NA KUPUNGUZA MWILI UNENE MARADH

 2. Anonymous

  January 22, 2013 at 10:04 pm

  anajiua taratibu huyo.akiendelea kula kula,huo mwili utaongezeka,na ataishia kulala tu kitandani.kuna kipindi us wanaonyesha walo watu ambao wako obese,kila kitu n i hapo hapo kitandani.inasikitisha,halafu una watu ndio wakuogeshe na kukufuta maana meili unakuelemea hata kutembea wanashindwa

 3. mama Glory

  January 23, 2013 at 8:38 am

  Dina haya sasa ni maradhi duuuuu noma kuku wawili peke yake!

 4. Anonymous

  January 23, 2013 at 8:41 am

  Makalio yote yamemezwa na hipsi kweli watu wanamaumbile

 5. Anonymous

  January 23, 2013 at 9:42 am

  HIVI HAJAWEKA MCHIANA KWELI DINA KAMA HAJAWEKA NI KHATARI KUBWA DU!!

 6. Anonymous

  January 24, 2013 at 9:33 am

  Hivi hilo hips ni 'OJIRINO'au la'kutengeneza a.k.a mchina!

 7. Anonymous

  January 24, 2013 at 9:36 am

  ni balaaa

 8. Anonymous

  January 24, 2013 at 2:33 pm

  Mmmm

 9. Anonymous

  January 26, 2013 at 12:13 pm

  Hiyo ni hatari kwa afya yake

 10. Anonymous

  January 30, 2013 at 11:54 am

  mmhh hatari

 11. Anonymous

  February 1, 2013 at 1:22 pm

  aaaa mie mtu mzima bwana. kuyasema hazarani nashindwa

 12. Anonymous

  February 4, 2013 at 10:12 am

  yamenishinda jamani ngoja nitupie yangu ya kipotabo nani zaidi

 13. Anonymous

  February 6, 2013 at 1:12 pm

  hakuna mume anaefurahia limwili hilo labda kwa maonesho ila wakati wa kazi vipotabo watakusaidia utakeusitake,mana we yako sabasaba kwa mwaka mara moja.hata usafi utakushinda DUH!

Leave a Reply