Uncategorized

HAFSA KAZINJA AREJEA TENA NA SONGA MBELE.

By  | 
 Kwa muda mrefu alikuwa kimyaaaa baadae akawa nchini Marekani kwa show maalumu alizoalikwa kufanya huko.Mwaka jana nilimsaka bila mafanikio baadae akawasiliana na mimi kuniambia yupo Marekani kwa muda akifanya shows.

 Moja kati ya show alizoalikwa kufanya ni siku ya Tanzania.

Pichani akiwa na Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania  nchini Marekani na Mexico Mhe.Mwanaid Maajar.
Wimbo wake huo mpya unaitwa songa mbele,utausikia sana katika leo tena ya clouds fm.

10 Comments

 1. Mimi

  January 7, 2013 at 6:07 pm

  Dina habari, me niko off topic kidogo, mbona Clouds TV haishiki mpendwa toka mwaka mpya uanze? Hamjahamia digitali wenzetu au tatizo ni nini? Mana king'amuzi ninacho ila toka tarehe 1 haishiki tena. Mtujuze basi tatizo ni nini? Shukrani…
  Mdau Arusha.

 2. emu-three

  January 8, 2013 at 8:55 am

  HONGERA SANA HAFSA, TUPO PAMOJA MPENDWA

 3. Chakubanga

  January 8, 2013 at 11:00 pm

  I used to like and respect this lady, but after reading an article and saw some photos from one local tabloid newspaper, I am sorry to say that all my respect are out of the window, she looked so cheap !

 4. Anonymous

  January 9, 2013 at 9:09 am

  out of topic Dinna kuna blogger mmoja anadai kuvaa khanga msibani au madera marefu ni ushamba na yamepitwa na wakati???? hivi huvu ajuza ana akili timamu?? khanga tangu lini ilipitwa na wakati hivi kweli leo mtu uache asili yako kwa fashion za kipumbavu ambazo mtu kazijua jana tu tena eti anasisitiza na miwani juu huyu kafiwa huyu???? siku akifiwa atakumbuka hata chupi kama kavaa nini miwani. nadhani binti anahitaji msaada wa kisaikologia.

  • Anonymous

   January 12, 2013 at 2:26 pm

   Mshaanza mambo yenu ya kugombanisha bloggers, mi nilisoma na nikampa vyake sasa we unamwambia Dina ila afanyaje? we ndo msomaji mbona hunashindwa kumwambia huko huko, hacheni hizi binadamu. Kazi kuleta habari huku nakule. Dina husibane hii sipendi kweli watu dizain hizi.

 5. Anonymous

  January 9, 2013 at 3:34 pm

  NAONA UVIVU WAKO WA 2012 BADO UNAENDELE NAO. UNATUBOA KM VP DINNA FUNGA TU BLOG ISIWE TABU MANA KM UNALAZIMISHA TUKUCHUKIE MI UNANIUZI. MFYUUUUUU

  • dinamariesblog

   January 10, 2013 at 11:55 am

   Unanionea sana ujue kumbuka nimeajiriwa na nimejiajiri na nina fanya kazi tena sio moja.Kwa uvivu hapana sijawahi kuwa mvivu my dear hii blog nafanya pale nipatapo muda.Na kama ulisoma vizuri salamu sangu za mwaka mpya nilisema tatizo hili nalifanyia ufumbuzi.Asante kama umenielewa na tememea mabadiliko ya hali hiyo.Najua unapenda blog na unaboreka nisamehe bure am working on it.

 6. Anonymous

  January 10, 2013 at 12:55 am

  Chakubanga!nakuunga mkono na miguu!nami nilidhani ni dada anayejiheshimu, nilikuwa nikimpenda sana, kumbe hakuna kitu! kitendo cha kupiga zile picha eti ana wowowo kubwa na kale kakivazi du!inasikitisha sana! ki ukweli hana wowowo!bali ni unene! angalia picha ya mwisho chini nyama za mkono zilivyomlegea! kwa hilo ulijidhalilisha sana dada! jaribu kufanya mazoezi upunguze mwili ndo upige hizo picha za nusu uchi!

 7. Anonymous

  January 10, 2013 at 1:47 pm

  huwezi kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja funga tu, uendelee na clouds ni hayo tu mpenzi

 8. Anonymous

  January 11, 2013 at 10:42 am

  Dina umeconceive nini? Mbona umekuwa hivyo hututendea haki mbona zamani hukuwa hivyo? au ndiyo ukimsifia mgema?

Leave a Reply