Uncategorized

HAPPY BIRTHDAY SHAMIM WA 8020 FASHIONS BLOG

By  | 
Happy birthday dada na kila la heri katika maandalizi ya shughuli yetu ile ya siku ya wanawake duniani.
SIKU YETU!! SHUGHULI YETU!! KWA RAHA ZETU!!

2 Comments

  1. Anonymous

    January 14, 2013 at 7:05 am

    Kila la kheri shamim, nakukubali sana Mamaa. Mwenyezi mungu akusimamie katika kila jambo ulifanyalo, afanye wepesi palipo na uzito Inshallah.

  2. Anonymous

    January 16, 2013 at 4:18 am

    Bloger anaejitambua na anaejiamini asiye na wivu wala makuu asiyekuwa na mambo ya kimbea na kishari Mungu azidi kukuongoza ktk moyo uo uo usibadilike kama bloger wenGine wanakera ni mashindano na majungu na kujisifia kwingi

Leave a Reply