Uncategorized

NDOA YA MERCY JOHNSON YAJIBU.

By  | 
 Mercy Johnson ni miongoni mwa wasanii walio katika kumi bora ya wale waigizaji wakike wakali na bora nchini Nigeria.Mwaka 2012 ameufunga vizuri baada ya kujipatia mtoto wake wa kwanza wa kike.
 Mtoto alizaliwa akiwa na afya njema katika hospitali ya John Hopkins huko Baltimore Marekani.
 Mercy Johnson alifunga ndoa na mumewe Odianose Okojie mwezi wa nane mwaka 2011.
Mercy alishakuja nchini miaka kadhaa aliyopita na Kufanya filamu na marehemu Steven Kanumba na wasanii wengine kama Monalisa na Paster Myamba.Filamu hizo ni Dar to Lagos na she is my sister.

3 Comments

 1. Mama 2 (Mrs M)

  January 7, 2013 at 7:09 am

  Hongera Mercy, tunamuombea mtoto afya njema!

 2. ruky

  January 7, 2013 at 2:46 pm

  dina nilipokuja huku uk ndiyo nikajua mercy kibogo kabla nilidhna ni genvive kuna chanel 329 27/7 ni movie za naija na ghana huyu demu noma hata genive hamkuti sijui kwanini mwajaka jana sikuona akipata tunzo..

 3. Anonymous

  January 12, 2013 at 11:10 am

  What I lv about her si mzuri but anamvuto…..

Leave a Reply