Uncategorized

SASHA AND MALIA OBAMA WAMEKUWA WADADA SASA!

By  | 
 Nafikiri ni zile genes za baba mrefu na mama mrefu wanaonekana wamekuwa na kurefuka Malia sasa ana miaka 14 na mdogo wake Sasha miaka 12.
 Picha hizi zilipigwa jana katika sherehe za kuapishwa baba yao kuwa raisi wa Marekani kwa awamu nyingine.
Na picha hii ilikuwa mwaka 2009 wakati baba yao Barack Obama akiapishwa kuwa raisi wa Marekani  kwa awamu yake ya kwanza
Baba na mama wakipeana mabusu moto moto huku Sasha akipiga picha kwa simu yake.

8 Comments

 1. Anonymous

  January 22, 2013 at 10:00 pm

  huyo security mmoja wa kike hapo nyuma yupo makini na kazi yake.

 2. Anonymous

  January 23, 2013 at 9:08 am

  Dina hii picha ya pili kutoka chini imenikumbusha mbali
  mwanangu Glory alipokuwa na miaka mitatu siku moja akakuta babake ananiaga kwa kunikiss mdomoni, kwa nini asilie nayeye antaka baba ambusu mdomoni, so mambo kama haya kwa mila za kitanzania sio mazuri kuyafanya mbele za watoto, hata huyo mtoto wa obama naona ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kuona wazazi wake wakipeana sweet kiss ndio maana akaamua kuweka kumbukumbu kwa kuwapiga picha.

 3. Anonymous

  January 23, 2013 at 10:04 am

  watoto wao wamekua wakubwa hadi raha halfu wanafanana sana na mama yao.

 4. Anonymous

  January 23, 2013 at 11:14 am

  malia anaonekana ni mtulivu na mpole,sasha ni mtundu, angalia rangi wanazopenda kuvaa,au kava za simu zao,na hawana tofuti kubwa ya umri, likini malia ana onekana kuwa mwelewa zaidi, ni maon tu,,,

  • Anonymous

   January 24, 2013 at 9:04 pm

   Unawajua wewe?…Nyambaff

 5. Middy

  January 23, 2013 at 6:40 pm

  Wamekuwa wadada sasa, alafu warembo,sasha atakuwa mrefu zaidi

  • Anonymous

   January 24, 2013 at 9:05 pm

   Sawa bidada wa shekhe yahaya.Naona umeachiwa mikoba ya utabiri.

 6. Anonymous

  February 6, 2013 at 1:21 pm

  NDO MJIFUNZE KUCHAGUA WAPENZI WAZURI SIO TU MAMA AMENIAMBIA HUYU UTAZAA WATOTO WATAZEEKA NYUMBANI HADI UWAPUNGUZE BEI.mi mzuri nani anabisha?

Leave a Reply