Uncategorized

TULIVYOJIACHIA WIKI ILIYOPITA KWA PARTY LA WANA CLOUDS!

By  | 
 Watu kadhaaa,wanaclouds family,wasaniii tulikutana kiwanja cha nyumbani Escape 2 kujiachia.
 Perfect,Mangwea,Jajos,B12,Izzo B,Quick Racka

 Champaign zikafunguliwa pale na kugonga glass cheeers!!

 Kibonde unamchokozea nini Babra
 Ommy Dimpoz alitoa show
 Dee Andy alichukua nafasi ya Vanessa kuiimba me n u
 Alex akiongoza watu kucheza pale kati
Philip,Suka,Clara na Alex
 Doreen,Sabrina,Gerald na Jajos
 Goldie,Millard na Dj Vencha
 Ben Kinyaiya
 Babra na Susy
Doreen na Sabrina
 Kibonde na dada pale anaitwa Asha
PM Sebastian Maganga,mimi  na MD Joseph Kusaga
 Mimi na Kibonde
Baada ya hapo tukatafuta safari viwanja vingine.

6 Comments

 1. Anonymous

  January 29, 2013 at 12:08 pm

  dina hujakonda bado,

  • Anonymous

   January 29, 2013 at 1:38 pm

   Amejitahidi though, mambo mengine ni mapenzi ya Mungu inabidi kuutukuza uumbaji.

 2. Anonymous

  January 29, 2013 at 3:06 pm

  kupungua ni jambo gumu sana jamani, tena linahitaji muda haswaaa….. unaweza ukafanya mazoezi sawa, lakini hadi uje kuonyesha mabadiliko, inachukua muda saana! tena tumbo ndo huwa mbinde kuisha.pia nguo nazo zinachangia mtu kuonekana either mnene au mwembamba. dina kuna nguo zinazomwonesha kapungua vzr tu lakini zingine zinamwonesha bado, so dress matters much! pole pole tu atapungua.

 3. RUKY

  January 29, 2013 at 3:28 pm

  KUNYOA NYWELE RAHA…MI NIMENYOA BAADA YA MIAKA 12..NAJISIKI FURAHA KWELI NIKITAMANI MANYWELE MAREFU NA VAA WIG…DINA UMEPENDEZA HAYA NDIYO MAMBO YAKUTULETEA DINA C UNAKAA KIMY SANA

 4. Anonymous

  January 29, 2013 at 6:14 pm

  Mmependezajeeeeeeeee! No comment

 5. Anonymous

  January 30, 2013 at 7:58 am

  Clouds nampenda millard ayo kijana ametulia na sauti yake nzuri co waluwalu kama watangazaji wenzake maana clouds kumejaa malimbukeni kila mtu anataka ajioneshe yuko juu kwanzia mabosi ad watangazaji wanahangaika na ulimwengu wana viherehere c wanawake c wanaume lol ifikie mda mjiangalie na umri hee wanayofanya under 18 na nyie myafanye

Leave a Reply