Uncategorized

UNAWEZA KUDHANI NI MWANAUME SIO??

By  | 
 Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani.
 Renee mwaka 2006 alitwaa taji la mwanamke mwenye mwili wa misuli kuliko wote.Ilimchukua miaka 20 hivi kutengeneza mwili huo
 Unamcheki panya katuna pale kati
Inaonekana ukinyanya vitu vizito na manyonyo yanapotea.Renee aliolewa na bilionea wa Kifaransa na ana watotot wawili wa kike.

13 Comments

 1. Anonymous

  January 31, 2013 at 1:34 pm

  Hi Dina

  Jaman mbona km mwanaume mh aelekei hata kidogo km mwanamke hiyo pic ya mwisho vichekesho na hiyo gauni mh dunian kuna mambo

 2. Anonymous

  January 31, 2013 at 2:21 pm

  DUUUUUUUUH MWANAMKE HATARI

 3. Ruky

  January 31, 2013 at 3:32 pm

  mmh hawa kweli hata wanaume wanaokuwa nao hujisikia kweli km wapo na mademu??

 4. yuyu%

  January 31, 2013 at 3:53 pm

  Mhhhh yani huyo hatanimfumanie na mume wangu tena chumbani kwangu mweeeee nitakimbiaje??

 5. Anonymous

  February 1, 2013 at 2:30 am

  Hapo dina ndio itokee mmepishana lugha kidogo ndani chumban mpo wawil nazan chamoto utakiona,au akiamua asikupe unyumba huwezi tumia nguvu inabidi uwe mpole tu

 6. Anonymous

  February 1, 2013 at 4:47 am

  DUH!!

 7. Anonymous

  February 1, 2013 at 6:58 am

  Mmmh! Hata shape ya kike haipo tena, kumbe ni kweli hakuna lisilowezekana chini ya jua zaidi ya kurudisha uhai tu…

 8. emma kahere

  February 1, 2013 at 8:00 am

  Hee huyu mdada mbona kaniacha mdomo wazi?,me kuwahiv hata sitaki jamani aiiii

 9. Anonymous

  February 1, 2013 at 10:10 am

  SIYO MANYONYO TU YANAPOTEA HATA NANIIHINO INAKUWA KAVU WAKATI WOTE ULE UTELEZI UNAPOTEA HAPO UKITAKA KUINGIA LABDA UWE NA LOTION

 10. Anonymous

  February 3, 2013 at 6:26 am

  Muonekano wa kike hana kabisaaaa…!!

 11. Anonymous

  February 3, 2013 at 11:44 am

  Dina hata uniwekee bastola sikubali kuwa huyu ni mwanamke hakuna hiyo kitu kah!

 12. Anonymous

  February 6, 2013 at 1:31 pm

  namna hiyo hata mungu hapendi.ndo nini kushindwa kumstarehesha mumeo,atafurahi kwa umbo gani sasa? we chekesha watu alafu kwa mungu ukaulizwe na misuli yako hiyo.

 13. Anonymous

  February 8, 2013 at 11:38 am

  huyo mwanamke aanzishe jinsia ya peke yake maana sio mwanamke wala mwanaume,hata kama tumebaki wawili sioi bora nibaki single milele

Leave a Reply