Uncategorized

UPEKEE WA NDEGE NJIWA

By  | 
1.Njiwa hutaga mayai mawili  tu
2.Njiwa ndio viumbe pekee duniani wenye mpenzi mmoja,yaani huyo mmoja akipotea au kufa anaebakia hawezi kuwa na mpenzi mwingine.Hata yule anaebaki huendelea kuombolea kifo cha mpenzi wake.
3.Njiwa dume na jike wote huwa na jukumu la kuwalisha watoto kwa pamoja.
4.Hata ukimfuga njiwa akiruka umbali gani hasahau nyumbani lazima arudi.Ndio maana toka zama hizo njiwa walikuwa wakitumika kutuma na kurudisha ujumbe fulani.
5.Binadamu huwala njiwa kama mboga hivi,kumbanika,kumchoma n.k
 6.Njiwa hutumika kama alama ya amani,upendo,matumaini na mshikamano.
7.Ni ndege wasiopenda fujo ukiwafuga kama ni nyumba iliyojaa ugomvi virugu wanahama wanaondoka.

6 Comments

 1. Anonymous

  January 31, 2013 at 1:37 pm

  Hi Dina

  Ni kweli uyasemayo km ule wimbo wa njiwa peleka salamu kwa yule wangu muhibu.Wapole sana uwa kwangu wakitua nawaangalia kuna jiran yangu anafuga wapo wengi mpk raha

 2. Ruky

  January 31, 2013 at 3:34 pm

  oooh ok. nilikuwa sijui siri yao..thankx

 3. Anonymous

  February 2, 2013 at 11:20 am

  Nimeipenda hiyo dina

 4. Anonymous

  February 3, 2013 at 5:14 pm

  Njiwa mara nyingi hutumiwa na wachawi

 5. Anonymous

  February 6, 2013 at 9:40 am

  si hivo tu njiwa pia hafanyi mapenzi bila kuanza na romance yaani kula denda

 6. Anonymous

  February 14, 2013 at 9:29 am

  Nimependa sana hizi image za njiwa na story zao kwa ufupi!

Leave a Reply