Uncategorized

WASHIRIKI WA GUINESS FOOTBALL CHALLANGE

By  | 

Baadhi ya Washiriki wa
shindano la Guinness Football Challenge wakiwa tayari kwa ukaguzi wa
kuingia Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika ya Kusini
kwa ajili ya kushiriki shindano la Guinness Football Challenge
litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa muda wa siku kumi.

Washiriki wa shindano la
Guinness Football Challenge wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa
ukaguzi wa kuingia Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea nchini
Afrika ya Kusini kwa ajili ya kushiriki shindano la Guinness Football
Challenge litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa muda wa siku kumi.

Leave a Reply