Uncategorized

WEEKEND YANGU ILIVYOKUWA KATIKA PICHA

By  | 
 Ijumaa mshikaji wangu na pacha tunashare bday tarehe 23 nov so huwa tunaitana pacha akanipeleka kwa dinner.
 Ilikuwa Meditterano
 Kwa sababu naangalia sana ninachokula nikaagiza sea food na salad tu basi!
 Prawns,calamari,lobstar,king fish

 Kamwili kanapungua lakini naanza kuwa kijana lol
 JUmapili nikawa mbalamwezi beach club kupunga upepo wa bahari
 Kulikuwa na bendi inaitwa bora bora wakipiga mziki mzuri taraatibu nikawa najienjoy kwa kusikiliza
Pia niliangalia movies kadhaa nakumbuka ni muda sasa sijawawekea movies hapa,nakuja kuweka kwa post ijayo.Zile nilizoangalia weekend hii.

5 Comments

 1. Azza

  January 29, 2013 at 1:19 pm

  Love you so much dina,, keep it up yaan umepungua hadi rahaaaa cute cute cute mamii

 2. RUKY

  January 29, 2013 at 3:22 pm

  AND U LOOK HAPPY MUMYY….AND VERY CUTE

 3. Anonymous

  January 30, 2013 at 6:43 pm

  Dina ulivyokuja shy twn mbona ulikuwa umechakaa vile au uliona shy ni washamba kweli picha zinatudanganya lol nilikuona dami htl upo upo

 4. kemmy poul

  January 31, 2013 at 11:36 am

  nimependa ulivyopungua kusura kinaonekana cha kitoto

 5. Anonymous

  February 1, 2013 at 8:39 am

  dada weee u mzurije! lakini kote huko huwa upo alone au na kampani? tuonyeshe sheim basi siku moja dadangu

Leave a Reply