Uncategorized

ZINAKUJA IPOTTY ZA WATOTO

By  | 

 Watoto wasasa naona nao watakuwa wanaenda kisasa kwa kweli,simchezo.Mzigo huu wa watoto ipoty utaingia sokoni mwezi march.
 ipotty itamuwezesha mtoto kujisaidia huku akiangalia katuni zake,kucheza games hata kupokea simu kama anaweza.Pia sio lazima mtoto aitumie wakati akijisaidia tu naweza kuitumia wakati wowote.Ina hiyo cover ambayo ukifunika inakuwa kama kiti.
Kupitia mtandao wa daily mail watu wengi walitoa maoni yao nakuona kama sio sawa.Japo tunakuwa kiteknolojia lakini kwa watoto inaweza kuwaathiri macho,akili na uwezo wao wa kufikiri.Wapo walioomba teknolojia hiyo ije katika vyoo vya watu wazima.Wapo waliopenda kuwa inafaa n.k

Haya ikija tutaona.

5 Comments

 1. Anonymous

  January 10, 2013 at 12:49 pm

  Mh kweli teknolojia inakua, ila hii haifai kwa watoto imuharibu akili matokeo yake shule performance itashuka au wajinga kuongezeka
  haya kwa vyoo vya wa2 wazima akiingia huko chooni atatoka kweli? c ndo mtasubriana mpaka mchoke!

 2. yuyu%

  January 10, 2013 at 2:43 pm

  Mh naona hatari tu,ukiifungua inakua pot anajisaidia huku anacheza game,ikifungwa kiti anaendelea kumbuka ni mtoto anawezaje kutofautisha ss yuko pot or kiti??

 3. RUKY

  January 10, 2013 at 7:47 pm

  Hi dina me mmh bi No… bbm na manini sijui yalivyo waathiri watoto wa sasa mhh namuomba mungu akinijaaliwa mtoto ntamlea km nilvyo lelewa maan malezi niliyoyapta kabla sijawa na akili zangu nilikuwa naona nalelewa kikoloni lakin sasa ndiyo naona matunda yake japo nipo nchi za watu huku lakini hapana kwanza kila likizo ntakuwa nakimbiza huko kwa bibi yake maan huku ndiyo kubaya zaaidi kwa new tecknologoia na upuuzi mwingi mpaka huwa na shika mdomo..

 4. Anonymous

  January 12, 2013 at 5:18 pm

  namuunga mdau wa kwanza mie nikiwa kama mzazi simshauri mtu anunue .Kwanza mtoto anaharibu nguvu za macho ,anakua kiakil na magemu na katuni tuu, inatosha hyo TV tu. mie naishi ulaya nimeona kipi mtoto apewe na kipi asipewe. Watanzania tulee watoto wetu kama tulivyolelewa hata kama tunaishi nje ya nchi na tunauwezo wa kununua

 5. Anonymous

  January 15, 2013 at 7:32 am

  IKIJA MIMINAITAKA raymkey@gmail.com tafadhali

Leave a Reply