Uncategorized

ASALI NA LIMAO HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO

By  | 
Asali na limao vinasaidia kupunguza mwili/uzito
Uzito mkubwa wa mwili hupelekea kupata magonjwa mbali mbali kama ya moyo,

kisukari, high blood pressure,
arthritis,ini  n.k
Asali ni nzuri sana kwani unaweza kuitengeneza mwenyewe nyumbani.Inasaidia kupunguza

obesity,cholesterol levels.Kila siku asubuhi unaweza kunywa glasi ya maji ya uvuguvugu ukiwa umeweka vijiko viwili vya asali na vijiko viwili vya chai vya maji ya limao.Unakoroga vizuri unakunywa.Pia unaweza kunywa mchanganyiko huu kama umetoka kula chakula cha mafuta mafuta.Kumbuka pia ni muhimu kufanya mazoezi kwa afya,kuacha kula vyakula vya mafuta,sukari n.k

8 Comments

 1. Anonymous

  February 8, 2013 at 6:40 am

  asante dada edina

 2. emma kahere

  February 8, 2013 at 11:06 am

  Nikweli kabisa,me nina ushahidi na asali yani inapunguza kweli kilo.,thanx Dina for giving us some information.nakupendajee

 3. Anonymous

  February 8, 2013 at 3:24 pm

  Dina ongelea pia asali na mdalasini….. ni nzuri pia

 4. HabbieH

  February 8, 2013 at 6:10 pm

  Nilishawahi kusikia toka kwa baadhi ya watu kuwa mchanganyiko wa asali na limao/ndimu ni sumu . . . sijui mnalizungumziaje hilo wapendwa.

 5. joyce

  February 8, 2013 at 6:23 pm

  Lov u d nafanya mazoezi hadi najipenda

  • Hun Frid

   May 18, 2017 at 7:42 am

   hongera sana miss

 6. Anonymous

  February 10, 2013 at 8:15 am

  Asante mpendwa kwa kutujulisha hilo pia ukichanganya asali,maji ya limao na kitunguu swaumu ni tiba nayo ya kwaajili ya wale watu wenye presha.

 7. Anonymous

  February 13, 2013 at 8:35 pm

  Thanks mdada maana nimepata kile ambach nilikua natafuta kwa mda mrefu kwan uzito ulikua unanizidia na ckujua chakufanya mungu akubariki.

Leave a Reply