Uncategorized

HAPPY BIRTHDAY TO MY DEAR FRIEND GERALD HANDO!

By  | 
Happy birthday kwako Gerald Hando a.k.a super mario….long live!

9 Comments

 1. emma kahere

  February 5, 2013 at 3:49 pm

  Jamani Happy birthday GERALD,.salam hizi zmfikie jaman.mwambie mwimbo wa happy birthday wa solid ground family umfikie

 2. Anonymous

  February 6, 2013 at 5:18 am

  nina zawadi yako nikupate wapi Hando nikupe ya birtday?

 3. Anonymous

  February 6, 2013 at 8:50 am

  Hongera kaka nampenda sana Gerald ametulia

 4. The Lot

  February 6, 2013 at 9:16 pm

  Japo nimechelewa kupost hii salamu yangu ila namtakia maisha marefu sana jembe langu maana linanifanya kila siku asubuhi nicheke sana hasa pale anapolitaja jina la Babra kwasababu akilitaja jina la Babra tu najua anataka kuanza kumchokoza ha ha ha ha haaaaa.MAISHA MAREFU KWAKE,MUNGU AMLINDE.

 5. Anonymous

  February 8, 2013 at 10:39 am

  aah nakukubali sana jembe ukiweka na ile combination yenu PJ (Nyani mzee), Babra, Bonge aaah mbavu sina. jamani msije acha kazi bure ntakosa burudani ya kuendea kazini na mafoleni ya dar. Mtanitesa!!!!!!!!!!

 6. Anonymous

  February 8, 2013 at 2:15 pm

  Jamani wewe kaka ukicheka mi hoi
  hongera sana

 7. Anonymous

  February 13, 2013 at 10:50 am

  Hivi da Dina huyu kaka Hando kaoa? Nampenda sana

 8. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:55 am

  Basi Dina uwe unatoa majibu kwa maswali yetu

  • Anonymous

   February 15, 2013 at 2:54 pm

   ndio kaoa

Leave a Reply