Uncategorized

JUMAMOSI HII NILIKUWA PANDE ZA BAGAMOYO,KAKAZI ZAIDI

By  | 
 Watu wakipunga upepo
 Nikapata hamu ya kudumbukiza japo miguu tu kwenye maji ya bahari
Jua lilikuwa linawaka hatariii mpaka picha zinatoka kama zinaungua
Simu zetu nazo lazima tupige picha tuweke instagram
Nilienda bagamoyo na rafiki yangu Fide,na Vida
 Vida
 Fide
Lengo lakuja bagamoyo ni kutafuta hoteli itakayotufaa kwa event ijayo ya women in balance.Hapa tulikuwa hotel inaitwa oceanic bay. Baada ya kuwa tumezunguka ndio tukakaa hapa kula na kubrainstorm.
Event ijayo itakuwa maalum kwa WANANDOA/WAPENZI kama ambavyo mlipendekeza kitchen party gala zilizopita.Tutaifanya nje ya mji ili iwe memorable kwa wote watakaokuja.Itafanyika mwezi wa nne kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili mtarejea makwenu.Mipango ya awali ikikamilika tutatoa tarehe na mahali na nini kitafanyika.Je mpo tayari??
 Jioni tukarudi makwetu njiani nikapata nafasi ya kufanya manunuzi ya nyumbani.
 Kisado cha nyanya,vitunguu 5000,vitunguu saumu 1000,nanasi 2000.
Ladies finger 1000 na tangawizi 1000
 Baada ya manunuzi tukaendelea na safari.Ilikuwa siku nzuri na majibu ya safari hii kama ilikuwa na mafanikio ni pale tutakapotoa tamko la awali la event ya kwanza ya women in balance kwa mwaka 2013.Itakuja na jina tofauti lakini…stay tuned.

7 Comments

 1. Anonymous

  February 11, 2013 at 8:19 pm

  you are smart dinna luv you sana…..

 2. Mama 2 (Mrs M)

  February 12, 2013 at 6:21 am

  Safii Dina!! Naomba Mungu anipe uzima na afya ili nami niweze ku-attend. Kwa kweli hiyo siyo ya kukosa.

 3. Anonymous

  February 12, 2013 at 7:04 am

  safi sana dina, lakini kweli hapa mjini mmekosa hotel nzuri, angalau itakuwa cheap kidogo maana bagamoyo duh, kweli tunahamu tupate hiyo kitchen party na waume zetu, lakini na pesa mama, na hivi imeota miguu sasa hivi/. anyway kila la kheri dear hope utafanikiwa

  • dinamariesblog

   February 12, 2013 at 11:02 am

   MJINI ZIPO ILA TUMEAMUA KUBADILI MAZINGIRA…NJE YA MJI…ILI IWE RAHISI KUFANYA ACTIVITY ZA NJE.KUTAKUWA NA MAMBO MENGI SANA.

 4. Anonymous

  February 12, 2013 at 7:19 am

  Hi Dina

  Yap hapo bagamoyo kumetulia pia ni pazuri,Haya twasubiri majibu tuone.

 5. Anonymous

  February 12, 2013 at 2:17 pm

  Waah! Wazo zuri Mungu atupe uzima tunasubiria kwa hamu

 6. MOJAONE

  February 13, 2013 at 2:32 pm

  NIMEZIKUBALI PAJA ZA FIDE KTK PHOTO YAKE YA KWANZA.

Leave a Reply