Uncategorized

KILA KAZI NA KASHESHE ZAKE..NA HAWA HUKUTANA NA HAYAA.

By  | 
Mamodel nao wakati wakuonyesha mavazi hukumbana na haya….
Disigner kabuni viatu vyake japo ni kazi za wenyewe wanajimudu kutembelea lakini kama hili linaweza kutokea.
Nina uhakika akitoka hapo anajisikia vibaya sana kuanguka mbele za watu.
Hapa mguu ushageuka dada anajitahidi asianguke.
Hapo unatakiwa utembee kwa mwendo wa mbwembwe na madaha uonyeshe nguo au viatu kwenye hiyo runway ghafla umekosea step mguu pwaaa chini.Kila kazi ina changamoto zake kwa kweli na tuheshimu kazi za wengine.Usione kama kazi yako ni nzuri na bora kuliko ya mwenzako.

7 Comments

 1. Anonymous

  February 21, 2013 at 3:11 pm

  OUT OF TOPIC
  NI KUHUSU SPANX KUNA M2 KASEAM UKIVUA MBELE YA MPENZIO ITAKUWAJE ???? MI NAJIBU IVIIIIIII JAMANI SIKU YA KWANZA WE KWENDA KUJUANA KIMWILI NA MPENZIO UNAVAA YA NINI???? HII INAVALIWA MARA NYINGI KWENYE MITOKO YA WAZI HASA INAYOHUSIHA RED CARPET KINGINE KM TUMEZOEANA MWILI WANGU ANAUJUA HATA MBELE YAKE NAVAA COZ HATA YEYE ATAFURAI KUONA MPZ WAKE NIMETOKELEZEA. LA HASHA SI NENO IFUNGASHE MINYAMA UZEMBE YAKO KWENYE GAUNI KM BARGER BORA TU UNA AMANI NAYO.

 2. Anonymous

  February 22, 2013 at 7:47 am

  Duu! Kweli Dina nimeipenda hy. Kila kazi ina changamoto zake. Kuna daktari wa hospitali moja ya serikali alikuwa anamng'oa jino mgonjwa nadhani alikosea kitu yule mgonjwa alibleed balaa mpaka dr aliogopa akaita madr wenzeke kuomba msaada, na siye tuliokuwa kwenye foleni tukatimua na kuhisi meno yamepona! Hivyo ni kweli changamoto zipo kwenye kila kazi. Ila tuheshimu kama kazi za wenzetu. Usione kuwa yako bora sana kuliko ya mwingine.

 3. Mama 2 (Mrs M)

  February 22, 2013 at 1:29 pm

  Hiyo kali!!!

 4. Anonymous

  February 22, 2013 at 1:39 pm

  Yah ni kweli dina hata hapa juzi kati alianguka jukwaani model wa Tz rafiki yangu jina kapuni alikuja akanipa story lakini mm sikuangalia kile kipindi chao cha NIVANA.

 5. emma kahere

  February 22, 2013 at 5:59 pm

  Mwee hii yakuanguka kwenye stage ni zaid jamani,duu kaz hizi

 6. Anonymous

  February 25, 2013 at 10:49 am

  Ila hao ma-designer nao kuwataka nahau tu watoto wa wenzao! Maho ma-stilleto kabla hujayatia mguuni tu unahisi kuanguka, ukiyavaa je?

 7. emu-three

  February 25, 2013 at 1:28 pm

  Unatakiwa uwe mjanja, unaanguka ujifanye kama umejiangusha

Leave a Reply