Uncategorized

LEO…

By  | 

53 Comments

 1. Anonymous

  February 15, 2013 at 1:46 pm

  bLACK IS BEAUTY MIMEAMINI.UKO MWAH SINA LA KUZIDISHA .DINA MHH NIMEJIULIZA KWANINI WEUSI HUJICHUBUA KWANI RANGI NYEUSI UKIITUNZA INAMVUTO SANA. BAKI NA RANGI YAKO D . YOUR REAL BEAUTIFUL DINA

  • RUKY

   February 15, 2013 at 2:51 pm

   SANA…YANI USITHUBUTU KUJICHUNA KM SHOGA ZAKO…PENDEZA SANA

 2. emma kahere

  February 15, 2013 at 3:02 pm

  Mamii kweli majibu ya MAZOEZI sasa nayaona,.yaan umepungua hadi raha.,nataman nam nianze kwakweli maana huu unene nshauchoka.,harafu hiyo SAA huwa naipenda hatar.naiomba basi nzurijeeeee

 3. Anonymous

  February 15, 2013 at 3:30 pm

  Kweli LEO umependeza na unavutia, ww ni mzuri.

 4. Anonymous

  February 15, 2013 at 5:33 pm

  Nitafurahi na roho yangu kusuuzika siku nikisikia unafunga ndoa na Reuben Ndege. Mungu awajalie jamani.

 5. Angela

  February 15, 2013 at 5:35 pm

  so cute, umepungua sana dina hongera naona umejitahidi na mazoezi. lov u

 6. Anonymous

  February 15, 2013 at 7:28 pm

  umependeza sn sn mamii, viatu, nguo, nywele duh pendeza sn ww

 7. Hance Mbuya

  February 15, 2013 at 9:44 pm

  Dm umependeza sana..

 8. Anonymous

  February 16, 2013 at 6:12 am

  Najuta kufaamu cream mlio na weusi wenu msiguse hizi mavitu ni mbaya

 9. Anonymous

  February 16, 2013 at 6:29 am

  pendeza sana ila kiatu chako mhh! kwakweli sometimes inabidi uache vitu vikupite si kila fashion uvae. hivi viatu kiukweli hakinivutii sijui why.. ila wakivaa wanapendeza sana. well labda ungebadilisha mavazi sijui i dont knw ila kiukweli big no kwenye kiatu. i knw u dont care but u knw wht i mean.

 10. Mama Eunice

  February 16, 2013 at 6:38 am

  UMEPENDEZAJEEEE MREMBO!!!!???, Yaani hapo ndipo usipungue zaidi, umentain hapo hapo, umependeza kwa umbo, nywele, uzuri dah…………precisely speaking ningekuwa na kaka hajaoa ningekuomba uwe my wie, I love u Dinna

 11. Anonymous

  February 16, 2013 at 6:47 am

  haya dada wa fashion show hujampata tuu naona bado mauzo yanaendelea…..

 12. Anonymous

  February 16, 2013 at 6:58 am

  Dina we ni mzuri. na uluvyojipunguza ndo basi tena umezidi kuwa m-cute! I like you!

 13. Anonymous

  February 16, 2013 at 8:30 am

  I want to know jina la hair style!I love it,I wist to cut mine niweke style hiyo!!

 14. Anonymous

  February 16, 2013 at 8:58 am

  Umepungu umependeza mumy, pamoja na stahili ya nywele. naomba umwambie zama mbona blog yake kimya sana, kasema coming soon ad leo. irene wa magomeni

 15. Anonymous

  February 16, 2013 at 12:39 pm

  ALways black is beautiful,african queen pendeza sana

 16. MOJAONE

  February 16, 2013 at 1:13 pm

  Picha ya kwanza, usiache ache mkoba mbali wahuni tupo stand by kuchomoa na kutoweka nao.

  Picha ya pili, nimependa hiyo mitching ya handbag na viatu na suruali.

  picha ya tatu, TT zimeonekana vizuri.

 17. Anonymous

  February 16, 2013 at 1:54 pm

  You look good! Very beautiful. Very natural. Very Clean.
  Are you in relation? Committed to someone? Dont take me wrong, but i real want to know. ooooohhh! My GOD. These pictures made my day!

 18. Anonymous

  February 16, 2013 at 3:01 pm

  you look good, nipe siri ya kupungua kwako umekuwa mrembo. Kweli usijichubue ila sijui unapaka nn kinakufanya uanze kuwa mweupe.

 19. Anonymous

  February 16, 2013 at 3:30 pm

  Umependeza dinna jaman.Mi nakupenda sana dada yangu.Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani tele

 20. Anonymous

  February 16, 2013 at 3:39 pm

  Wataisoma kimia kimia

 21. Anonymous

  February 16, 2013 at 3:41 pm

  Umemechisha mwenyewe,naomba pochi??..
  <3

 22. Anonymous

  February 16, 2013 at 7:55 pm

  Ur so cute Dina. Black beauty

 23. Stewart Martin

  February 16, 2013 at 8:45 pm

  Nimependa hiyo. Stylish in classic for conservatives
  Keep it up……………………

 24. REHEMA

  February 17, 2013 at 9:10 am

  JAMAI DAD DINA UNAPENDEZA KILA SIKU NAKUONA NI MPYA, HONGERA, UNAPENDEZA ZAIDI HIVYO UNAVYOKUWA SIMPLE, I LIKE YOU.

 25. Anonymous

  February 17, 2013 at 11:48 am

  Looking good mamii! lov u!

 26. Anonymous

  February 17, 2013 at 1:05 pm

  Wewe kama Dina upo poa sana umependeza sana lakini hizo Rangi za kichadema.

 27. Anonymous

  February 17, 2013 at 2:20 pm

  Dina umepungua hadi raha!mantain hapo hapo kwa kweli unapendeza!

 28. jack

  February 17, 2013 at 4:19 pm

  Dina unavutia mummy,love u!

 29. Anonymous

  February 17, 2013 at 8:20 pm

  DINA we mkali umetokelezea noma ama nini kesho tunajua umetuandalia vitu vizuri kuanzia saa 4-7 sibanduki yaani nipo radhi nisahau kila kitu ila siyo leo tena na we dina! mtu lazima aipende kazi yake kama anavyoipenda dina!

 30. Anonymous

  February 17, 2013 at 10:29 pm

  i m man and i can admit your beautifully sis.

 31. Anonymous

  February 18, 2013 at 5:22 am

  umepungua vizuri Dina looh, umenogaje,,,, hongera kwa kupendeza black beauty.
  Mm Mario

 32. Mama 2 (Mrs M)

  February 18, 2013 at 5:23 am

  UMEPENDEZA SANA DINA! NA HIZO NYWELE KAMA UZIACHE TU HIVYO HIVYO FUPI ZISIWE NDEFU. UMEPENDEZA SANA HONGERA!!

 33. Anonymous

  February 18, 2013 at 5:28 am

  kwa kweli Dina u mrembo, unajitunza, msafi, yaani nimependa maisha yako. Nakupenda!!!

 34. Anonymous

  February 18, 2013 at 6:01 am

  Nikweli unapendeza sana na hiyo mikato uliyoamua kutoka nayo LEO

 35. Anonymous

  February 18, 2013 at 6:07 am

  dina umependeza sana

 36. Anonymous

  February 18, 2013 at 6:18 am

  mambo, mi ni shabiki wako sana niko iringa, nimekupenda na napenda nikwambie yaani unapendeza sana ukiwa na nywele fupi, kuliko kushonea ma weaving au kusuka. ushauri tu naomba ukae na nywele zako hizo hizo fupi.

 37. Anonymous

  February 18, 2013 at 8:17 am

  Kila mtu umependeza umependeza,tunajua kuwa kapendeza,say somthing new!!…

 38. Anonymous

  February 18, 2013 at 8:33 am

  pendezajeeeeeeeeeeeee pozi lakwanzahilo umetokelezea

 39. Anonymous

  February 18, 2013 at 8:53 am

  Anony hapo juu wivu unakusumbua. Eti says omething new, something new ndiyo hy sasa kapendeza hutaki acha. Stupid man/woman Mxuuuu! (msonyo).

 40. Anonymous

  February 18, 2013 at 8:54 am

  Anony hapo juu wivu unakusumbua. Eti says omething new, something new ndiyo hy sasa kapendeza hutaki acha. Stupid man/woman Mxuuuu! (msonyo).

 41. Anonymous

  February 18, 2013 at 10:25 am

  simple and clear,me i like ze way ulivyovaa mwanadashost,bt style yako ya nywele me huwa siipend na kwa wewe ukupaswa kufanya hivyo bt imekupendeza

 42. Anonymous

  February 18, 2013 at 10:49 am

  Mmmmh roho mbaya 2!We anonymous wa hapo juu,somtin new km kipi?kizuri kipe sifa zake hicho kimpya sema ww,u look beautiful an smart my sisy D,love u always

 43. Anonymous

  February 19, 2013 at 11:26 am

  umependeza my dear Dinna. Halafu na ulivyopungua so good yaani.Acheni wivu sifieni kitu ambacho kinajionyesha.Umemechisha vibaya sana sana.

 44. Anonymous

  February 19, 2013 at 1:13 pm

  YOU LOOK SO CUTE DINA!

 45. kitwitwi

  February 20, 2013 at 9:35 am

  you luk simple bt poch yako is verry common jaman na mbayaaa,plz we ni mdada mrembo sana try kuselect vitu uniq plzzzzz.lov u

 46. Anonymous

  February 21, 2013 at 8:32 am

  Umependeza sana mdada, halafu nachokupendea huna kihere here cha kuongea ongea, unaongea kistarabu sana

  unavutia, love u.

  • Anonymous

   February 22, 2013 at 10:11 am

   mbona leo hamna hekaheka?

 47. MICHAEL SIMON KUNZI

  February 22, 2013 at 6:05 am

  NAKUPENDA LIFE LAKO SIO KOMPLIKETED HATA KIDOGO,,, GOOD TO GO//

 48. MICHAEL SIMON KUNZI

  February 22, 2013 at 6:09 am

  NAKUPENDA LIFE LAKO SIO KOMPLIKETED HATA KIDOGO,,, GOOD TO GO//

 49. Anonymous

  February 25, 2013 at 1:37 pm

  jamani dina, umependeza sanaaa

 50. Anonymous

  February 25, 2013 at 6:14 pm

  dad usiharibu rangi yako Mungu amekuumba unapendeza sana

 51. Anonymous

  February 27, 2013 at 11:03 am

  LOOKING FAB MADAM!

Leave a Reply