Uncategorized

MCHEZO WA SHAKESPARE KWA KISWAHILI ULIVYONOGA

By  | 
Watu wengi tulikutana pale little theatre kuangalia mchezo huo wa jukwaani wa shakespare kwa kiswahili.mchezo huo ulichezwa na wasanii wa Kenya na kumshirikisha Mrisho Mpoto wa hapa kwetu Tanzania..
Ruge Mutahaba akiongea na waalikwa waliokuja kuona mchezo huu na kumshukuru Mrisho Mpoto kuwaleta kikundi hicho hapa Tanzania.
Kiukweli nilienjoy sana,nilicheka sana kuangalia hii ni kama nilikuwa naangalia movie.Starehe zipo nyingi kiukweli sio kila wakati tufanye kitu kile kile.Ikija tena nitawahimiza watau wangu twende wote.

4 Comments

 1. Mama 2 (Mrs M)

  February 18, 2013 at 1:59 pm

  Chezea Mpoto wewe!!! huyo ndio msanii wa ukweee!

 2. Anonymous

  February 18, 2013 at 2:35 pm

  jamani dina umetukosesha uondo kwnn ukutuambia twnd

 3. Anonymous

  February 18, 2013 at 7:49 pm

  ulipendeza mamito ungeweka full pic nikuone……

 4. Anonymous

  February 20, 2013 at 7:59 am

  Dinna kiukweli unapenda picha wewe mwemwe mwemwe so good. Ila dinna jitahidi mweeee mungu akujalie upate japo kitoto chako unavyopenda watoto inapendeza sanaaaaaaaaanaaaa. UMEMECHISHA NA KIPINDI CHAKO BILA WEWE HAKIPO SHOGA NA KIPENDA SANA SANA NA KUSIKILIZA SANA SANA KILA SIKU.

Leave a Reply