Uncategorized

MZEE MADIBA ANAENDELEA VIZURI,TOKA ALIPOUMWA SANA MWAKA JANA.

By  | 
 Picha hii ya Nelson Mandela ilipigwa jumamosi ya tarehe 2 Feb 2013.Katika picha hiyo anaonekana Mzee Madiba akiwa na kitukuu wake mdogo kuliko wote Zen.Toka ameumwa sana mwaka jana na kufanyiwa oparation kubwa picha hii inamuonyesha akiwa anaendelea vizuri kabisa.
Nelson Mandela mwenye miaka 95 aliwahi kupata watoto 6 watatu wakafariki,anawajukuuu 17 na vitukuuu 14.
Miezi kadhaaa iliyopita hali Mandela ilikuwa mbaya sana na watu mbalimbali duniani ikiwemo Afrika ya Kusini walikuwa wakimuombea aweze kupona.
Zen anaeonekana pichani akiwa na babu kwa sasa yupo U.S na mama yake  Zaziwe ambao wanaandaa reality show yao itakayoitwa ‘Being Mandela’ itakayozinduliwa jumapili ya tarehe 10 mwezi huu.

9 Comments

 1. Anonymous

  February 8, 2013 at 12:36 pm

  Du safi sana mzee wa watu kaona mpaka vitukuu na bado anaonekana kuna uzima ndani yake. Mungu ambariki sana. pia shukrani kwa GRACA MACHEL MANDELA kwa kumtunza mzee jamani.

 2. Anonymous

  February 10, 2013 at 8:09 am

  Nje ya topic Kama unaweza nielekeze kwenye kile kituo Cha watoto yatima plz ikiwezekana leo ili kesho nienda na sadaka yangu nataka nipeleke plzzzzzz

  • Anonymous

   February 11, 2013 at 8:53 am

   u r not serious…vituo vyooote hivi pamoja na mabango yakuelekeza we huvioni?

  • Anonymous

   February 12, 2013 at 10:20 am

   iv wew unamcrash mwenzio unadandia uciyoyajua,mwenzio maybe aliweka ahad by the time dina anatangaza kuhusu ada za wale wanafunzi co amepata anataka kwenda kutoa ,co we huji yalipoanzia unabak unadandiadandia inahusu kwani?

  • dina marios

   February 12, 2013 at 11:01 am

   KITUO KIPO MBWENI DADA…WEWE UKIFIKA KWENYE ILE KONA KUNA KIBAO CHA SHULE YA BAKILI MULUZI FATA HIYO BARA BARA MOJA KWA MOJA MPAKA UTAKUTA BANGO LA KUKUELEKEZA KITUO CHA MWANDALIWA.KIPO BARABARANI KUSHOTO KWAKO.

 3. Anonymous

  February 11, 2013 at 4:38 am

  Mola endelee kumpa umri mrefu babu yetu mandela.

 4. Anonymous

  February 11, 2013 at 8:23 am

  Hongera sana Babu tunakutakia maisha marefu daah damu nzito kuliko maji yani hicho kitukuu kinafanana nae kinoma.

 5. Anonymous

  February 12, 2013 at 6:05 am

  Nimeamua kwenda kule we tatizo Lako ninini kwani?

  • Anonymous

   February 12, 2013 at 10:22 am

   umbea unamsumbua achana nae huyo

Leave a Reply