Uncategorized

NI MTU GANI MAARUFU AMBAE UNGEPENDA KUKUTANA NAE NA KWA NINI?

By  | 
Inawezekana ni mwana siasa,mfanyabiashara,mwanamichezo,mwanamuziki,muigizaji,mtangazaji,au anachokifanya ndio kimemfanya maarufu labda hapo sijakitaja.
Mtu huyo unatamani ungekutana nae,kwa nini?
Na maanisha wa hapa Tanzania tu! 

113 Comments

 1. Anonymous

  February 8, 2013 at 11:21 am

  Mimi napenda kukutana na Wema Sepetu nampenda sana huyu dada sababu ya kukutana naye anihakikishe tu kwamba awana uhusiano na diamond maana nitashukuru, nampenda sana mwambie zamaradi siku hizi atuangalia tena take one kwasababu atuna king'amuzi cha Zuku, jamani bei ghali walalahoi wengi tupo startimes ushauri tu clouds rudini huko.

 2. emma kahere

  February 8, 2013 at 11:32 am

  Kiukwel me ningependa nikutane na JACOB STEVEN (JB),maana napenda sana uigizaji wake yani nikuona move yake burudaniii

 3. Anonymous

  February 8, 2013 at 12:31 pm

  me napenda kukutana na Dina marious, kwa sababu navutiwa kila zuri analofanya, ki ukwel Dina ww ni role mode wangu, nahisi ntatoka machoz ya furaha cku nikikuona live mana nna vitu vingi vya kushare na ww.

 4. Anonymous

  February 8, 2013 at 12:52 pm

  Jaman mm ni wema sepetu, nampenda sn na nahis wanaomchukia hawamtendei hak but ofcuz naelewa huwez ukapendwa na wote…ningependa niongee nae nifurahi tu…she z my idol. ..

 5. Anonymous

  February 8, 2013 at 1:19 pm

  kwa kweli mimi wema sepetu aisee sisemi

 6. Anonymous

  February 8, 2013 at 2:23 pm

  jamani c inaruhusiwa hata kama una watu wawili unaopenda kukutana nao? wa kwanza ni Dina marios, kiukweli huyu mdada uwa napenda sana niweze kukutana naye angalau mara moja tu na nimuulize jinsi anavyoweza kupangilia vipindi vyake kiukweli uwa navutiwa naye sana hata anavyoongea kujiamini pia, na wa pili ni wema sepetu kiukweli huyu bi dada uwa sipendi kabisa wamuandike vibaya, yaani nampenda mno nikikutana naye nataka nimshauri kwamba yeye ni mtu wa watu so anapokwazwa asiwe na jazba kupindukia kiasi kwamba akaleta skendo zisizo na maana.

 7. Anonymous

  February 8, 2013 at 4:05 pm

  Mimi ningependa sana kukutana na wewe Dina Marious. kwa kweli nakuona ni mdada mwenye busara, msimamo, smart, hauegamii upande wowote uko neutral. Kipindi chako kiko active hata blog yao haichoshi kuangalia. Uko very creative na huwa unawakilisha mada vizuri sana na unaelimisha jamii

 8. Anonymous

  February 8, 2013 at 5:21 pm

  Me natamn nikutane na we nakupenda sana jaman da dina

 9. Anonymous

  February 8, 2013 at 5:45 pm

  Mimi napenda kuonana na Wema Sepetu nampenda sana huyu dada

 10. HabbieH

  February 8, 2013 at 5:50 pm

  Hili swali hata lingeulizwa sehemu nyingine na mtu mwingine, Dina Marios would not have missed in my wishes. . . . she inspires me alot in the community works she does & also my desire to know her strength inside/behind. God go Bless her!

 11. Anonymous

  February 8, 2013 at 7:17 pm

  Wema sepetu mimshauri ajenge maghorofa hapa mjini kwn anachezea sana hela natamani ningekuwa manager wale

 12. Ruky

  February 8, 2013 at 8:37 pm

  mmhmi wengi…lakini kwanza ni wewe Dina cos nimchapa kazi na unaupeo mkubwa na unajiheshimu na kpenda kuwa wewe km wewe..pili juma kaseja kweli huyu kijana ni mchezaji bora na ananidhamu ya hali ya juu..tatu ni wema sepetu jamani huyu dada nampenda sana napia napenda kusikia kauli yake mwenyewe kuhu skendo zinazo muandmana je zipi ni kweli zipi uwongo?

 13. Hance Mbuya

  February 8, 2013 at 9:38 pm

  me Dina marios wa leo tena pamoja na team nzima ya leo tena.Natamani sana siku moja nikae nanyi hata kwa dk 5 tu ndan ya mjengo kuona kile mnachofanya live!Dina we ndo my no 1

 14. Anonymous

  February 9, 2013 at 6:57 am

  WEMA SEPETU napenda kila kitu kutoka kwake,yani nikiona gazeti kuna picha yake tu hata liwe limeandikwa kiarabu kitupu ambacho sijui kukisoma nitalinunua tu.i love her kwakweli…kila napomuona ananifanya nisikate tamaa na maisha kwa maana yeye ana moyo wa aina yake.nakumbuka siku aliyokuwa akitoka segerea,mwingine angetoka huku akiwa analia but yeye alikuwa kawaida na aliweza hata kuongea na waandishi wa vizuri tu as if ametoka ndani kwao..ana ujasiri tofaut na urembo wake.da dina naomba nikutane nae nishake hands nae..ntafurahi coz WEMA si mbaguzi hajioni…SHE IS KIND AS HER NAME.I REALLY LOVE HER

 15. Anonymous

  February 9, 2013 at 7:22 am

  Hi Dina

  Mie napenda nikutane na ww kuna siku nilikuona wajua sikuamini ilikuwa mwaka juzi ulikuja mitaa ya kwa mwinyi hapa mikocheni kuna duka la nguo uliingia nikakuona ndio unapanda gari unaishia nilitamani nisimamishe nikashindwa my dear.Napenda niongee na ww tu na kubadilishana mawazo kuhusu vitu vingi tu vya maisha

  Then pia nampenda aunt sadaka nilimuona tarehe 23 Jan hapa Sanitas hOSP lkn huwezi amini nikaogopa hata kumsalimia coz akukaa sana na pia uwa napenda mada zake na ushauri wake.

 16. Anonymous

  February 9, 2013 at 10:39 am

  hi dinna
  Me ningependa kukutana na Mr. President (Dr. Mrisho Jakaya Kikwete) kwa sababu nyingi sana
  1. Kama mtanzania yy ni rais wangu ningependa kukutana naye,
  2. Ningependa kujua safari yake kuelekea kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais wa nchi kwani naamini aliota na akajipanga ndio akafikia hapo (nafikiri kama kijana safari hiyo itanifundisha mengi).
  3. Ningependa kujua anawezaje kuiongoza hii nchi mkakati au njia gani anatumia.
  4. Pia nataka kujua pamoja na majukumu aliyonayo ya kuiongoza nchi anawezaje pia kuwa kama baba nyumbani kwake( anatimiza vp majukumu yake kama mzazi).
  5. zaidi nilitaka kujua nini mkakati wake wa kuendeleza elimu hasa kwa mkoa wa Pwani hasa ukizingatia ndio alikotoka, kielimu tuko nyuma sana kwani kama jamii hatuja hamasika kabisa me nilidhani angejitahidi kuandaa mpango kabambe wa kuinua elimu kama ilivyokuwa zamani hizo. hasa akizingatia kuwa amebakiza miaka miwili kuondoka madarakani.
  haya ni ndio yandu dinna wish nikutane jicho kwa jicho na Mr. Prezooo

  • Anonymous

   February 13, 2013 at 7:06 am

   good wewe umenena

 17. Anonymous

  February 9, 2013 at 10:48 am

  natamani sana kuonana na JB steve jackob napenda sana uigizaji wake anavaa uhalisia yani nikiona move yupo yeye lzm niangalie

 18. Anonymous

  February 9, 2013 at 12:24 pm

  Mheshimiwa Zito Kabwe, Ni mwanasiasa jasiri na Makini, anajua kujenga na kubishana kwa hoja na sio Mcharuko kama walio wengi……Nikutane nae tubadilishane mawazo.

 19. Anonymous

  February 9, 2013 at 12:36 pm

  me nngependa kukutana na dina mariosi…..mara nyingi huwa namuota ndotoni wakati sijawahi kukuona live……..sasa ndoto ikitokea kuwa kweli ni furaha iliyoje….nmechoka jamani kumuota mtu ambaye sijawahi kumuona live na sijui kwa nn huwa nakuota sana

 20. Anonymous

  February 9, 2013 at 5:08 pm

  Jaman mimi ningetamani siku moja nikutane na Dr.Asha rose migiro, nampenda sana maana ni mwanamke jasiri, anejiamini na mwenye msimamo, ningemwomba aniambie tu siri ya yeye kuwa kama alivyo

  • Anonymous

   February 13, 2013 at 7:06 am

   kabisa mimi pia wish….

 21. Anonymous

  February 9, 2013 at 8:17 pm

  wema sepetu please

 22. Anonymous

  February 9, 2013 at 8:57 pm

  mimi dina marios.ni mtu muelewa sana,na una huruma.na ni mchapakazi.napenda upate mume ambae atakupenda na mtapendana,kwani unaonyesha ukiwa na familia yako,ni mtu ambae huwezi kutetereka.utaisimamia vizuri kabisa familia yako

 23. Anonymous

  February 10, 2013 at 6:46 am

  Kwaupande wangu mm ningependa kukutana na DINA MARIOS sababu kwanza navutiwa na ww na nnapenda unavyofanya kazi yako kwa umakini kabisa na utulivu huwa huna papara kabisa huwapo studio kama watangazaji wengine nalapili napenda sana kasurakako nikazuri sana kifupi nakupenda sana tuuu.

  • Anonymous

   February 16, 2013 at 12:09 am

   ulijuaje coz na mm hvyo hvy,,xor hv naweeza kumuona Gea

 24. Anonymous

  February 10, 2013 at 10:22 am

  Habari Dina na hongera kwa kazi nzuri!

  Kwanza: Bw. Joseph Kusaga ni mtu ambaye ameleta mabadiliko makubwa mno katika fani ya sanaa hususani Muziki, amewasaidia sana wasanii wetu kufanya sanaa kama kazi rasmi na kuheshimika kwayo. Nampongeza sana kwa kugundua umuhimu wa kuwekeza katika kuwapandisha vijana kimaisha. Big Respect!

  Pili: Ningependa kupata nafasi ya kukutana na Dr. Isaack wa kipindi cha Njia Panda, sababu navutiwa mno na kipindi chake kwani kinagusa sana maisha ya watu! Namtia moyo aendelee kuchapa kazi anachokifanya ni muhimu sana!

  Tatu: Mtu wangu wa nguvu Millard Ayo, sio mchezo! Huyu kijana ni mbunifu sana na anaipenda kazi yake toka moyoni, anavutia kwa kweli! Namwombea Mungu aendelee kumtia nguvu na kumpa uthubutu wa kufanya makubwa zaidi, hakika atafika mbali sana!

 25. nayna kunga

  February 10, 2013 at 12:20 pm

  jamani me wema nampenda sana yaani hata cez kuelezea nkipata chance walau ya kupeana nae mkono sitopata usingizi cku hyo….

 26. Sada

  February 10, 2013 at 2:15 pm

  Dina marios kwani kila anacho kifanya najifunza vitu vingi kupitia kwake yaani yupo kama role model wangu na mtu mwingine zamaradi mketema kwa sababu kipindi chake hata niwe nimetumwa wapi ikifika jumanne lazima niwahi kipindi chake na hadi nyumbani m/mdogo kanipa jina la rafiki yake zamaradi kwa hiyo nikisikia rafiki yako najua kipindi cha zamaradi ila sasa hivi ving'amuzi vimeharibu kila kitu

 27. Catryn

  February 10, 2013 at 4:10 pm

  Mimi kiukweli natamani sana ningekutana na Wema sepetu tu nimwambie nampena mnooooo

 28. Anonymous

  February 10, 2013 at 7:49 pm

  Mie ningependa sana kukutana na Magufuli ili aniambie alikuwa na maana gani aliposema wasioweza kulipa 200 ya Kivuko wapige mbizi

  • Anonymous

   February 11, 2013 at 9:44 am

   hahahahhahahah wewe ndo umenichekesha sana hhahahhhahahahah

 29. Anonymous

  February 11, 2013 at 4:26 am

  mm
  wema sepe2 jmn yn nampnd hd najishangaa,akiwa na skndo au wa2 kumsema
  vby naumia km ndugu yngu wa damu,nikikutana nae ntmwambia km mambo
  yanayoandkwa kwny mgzt ni kwl a2lie jmn!

 30. Anonymous

  February 11, 2013 at 4:46 am

  Mie nampenda Dina Marious,aninivutia kwa vitu anavyofanya kwenye jamii yake.

 31. Anonymous

  February 11, 2013 at 4:50 am

  Shamimu mwasha aka zeze nampenda sana natamani siku moja nikUtane nae anipe siri ya ujasirimali

 32. Anonymous

  February 11, 2013 at 5:48 am

  uuuuuwii wema sepetu jamani i ril lyk her

 33. Anonymous

  February 11, 2013 at 6:25 am

  ningependa kukutana na joseph kusaga,naamini kuna kitu kikubwa natakiwa kujifunza kwake kama kijana mjasiliamali mwenye ndoto

 34. Ulsra

  February 11, 2013 at 6:57 am

  Mi bi Gea Habibu nampenda sn yuko ril nataka nimuulize akienda kufatilia hekaheka ni hekaheka ngapi zinazomuhusu huwa zinampata?

 35. Anonymous

  February 11, 2013 at 10:03 am

  TIMU NZIMA YA CLOUDS NAIPENDA BILA KUMSAHAU MZEE WA NIGHT FOOD

 36. Anonymous

  February 11, 2013 at 10:06 am

  JMN JB NAMPENDA MOVIE ZAKE BOMBA ,MUNGU AMJAALIE AMUONGEZEE MAUBUNIFU ZAIDI,DA ASMAA

 37. Anonymous

  February 11, 2013 at 10:18 am

  Mimi napenda kukutana na Mange Kimambi…she inspires me in so many ways

  Mariam

 38. Anonymous

  February 11, 2013 at 12:44 pm

  MI WEMA SEPETU,JAMNI NAMPENDA SANA HUYU DADA, HUWA ANAJIAMINI HAJALI WATU WANACHOSEMA KUHUSU YEYE,ANAFANYA VITU VINAVYOONEKANA ATAFIKA MBALI SANA HUYU DADA,TAKE MY WORD.

 39. Anonymous

  February 11, 2013 at 2:47 pm

  Mimi ningependa kukutana na joseph kusaga coz napenda mchango wake akatika jamii na hata mziki na nikikutana naye nitamuomba niingie kwenye familia ya clouds media group

 40. GRACE

  February 11, 2013 at 3:38 pm

  mi ningependa kukutana na Dina Marios naamini ntajifunza mengi

 41. Anonymous

  February 11, 2013 at 5:29 pm

  Mimi ningependa kuonana na Dina Marious

 42. Anonymous

  February 11, 2013 at 7:49 pm

  Me mange kimambi jamani nampenda hadi naumwa..

 43. Anonymous

  February 11, 2013 at 8:23 pm

  Ningependa kukutana na wewe Dina Marios unieleze why uliniondoa kwenye facebook kama rafiki yako! Ukashanijibu ndio tutajua kitakachofuata ili Geah apate habari ya hekaheka! Hope umenijua ni nani

 44. Anonymous

  February 12, 2013 at 5:06 am

  Millard ayo,jembe langu ndio ningependa kukutana naye,anafanya kazi nzuri na ananivutia sana.

 45. Mama 2 (Mrs M)

  February 12, 2013 at 6:27 am

  Ningependa kukutana na timu nzima ya Leo tena

 46. Anonymous

  February 12, 2013 at 7:19 am

  Yani ngoja nikuambie i was very very happy kumuona boss joe juzi maeneo ya coco hope alienda kuangalia maandalizi ya usiku ule yalikua yakienda vipi. Nilitamani kwenda kumsalimia bt nikasita ila my heart was full of joy Dina. I hope next time ikatokea i wll go by myself nakumsika mkono. Love a all

 47. Anonymous

  February 12, 2013 at 9:49 am

  Jide na Dina Marios coz nawapenda sana thats all.

 48. MISOJI

  February 12, 2013 at 10:04 am

  me ningependa nikutane na mengi anipe mbinu mbalimbali za biashara

  • Anonymous

   February 13, 2013 at 7:12 am

   good

 49. Anonymous

  February 12, 2013 at 12:55 pm

  hi dina,mm nngependa khkutana na dina marios,nampenda sana huyu dada,nataman 1day nimuone japo kwa dk1ntafurah sana.

 50. Anonymous

  February 12, 2013 at 1:26 pm

  Nampenda sana Mange kimambi…nataman siku moja nikutane naye yan nitafurah sana coz Mange ni dada jasiri na anajiamin hadi raha nataman awe dada angu wa hiari..ukinikutanisha naye nitafurah sana coz she is my role model

 51. Anonymous

  February 12, 2013 at 1:57 pm

  hai sis dina mi ningependa kukutana na Dr.Asha Rose Migiro kiukweli ni mwanamama ambaye nimetokea kumpenda sana na ni mtu ambaye ananipa muongozo wa kielimu mpaka hapa nilipofikia na bado sijakata tamaa ya kuwa japo nusu ya mambo yake anayoyafanya nije kuyafanya baadae au hata ikiwezekana niyafanye yote kwa kifupi ni role modo wangu.mwengine ni wewe sis dina kwakweli unanifanya niwe katika mstari ambao nauona unanifanya niwe katika wale watu wasiokata tamaa na wanaweza kufanya kitu flani i real apriciate u sis kwa kila kitu unachokifanya kuanzia ukiwa redioni mpaka kichen part gala unaweza kufanya mambo yako vizuri hongera kwa hilo na mungu akujaalie kila la kheri kwa mambo yako

  • Anonymous

   February 13, 2013 at 7:13 am

   great…

 52. The Lot

  February 12, 2013 at 9:17 pm

  Mimi ningependa kukutana na Dina Marios.Ni mtu aliyenifanya nikajifunza mambo mengi sana kupitia kipindi chake cha Leo tena hasa hasa segment ya Mambo leo,nimejifunza vingi kupitia wanasaikologia anaowaalika kwenye kipindi chake.

 53. fatma hassan

  February 13, 2013 at 7:23 am

  mm ningependa kukutana na aunty sadaka…natamani sana siku moja nikae na niongee nae haswa swala la wanawake na kutokujiamini, (self confidence)kwa sababu ni tatizo kubwa sana kwa sisi wanawake especialy inapofikia swala la miili yetu…ningependa kumsikia akiongelea pia njia zipi haswa zitumike ili wanawake haswa waschana wanaochipukia.fatma hassan

  • Anonymous

   March 1, 2013 at 7:45 am

   Umenena

 54. fatma hassan

  February 13, 2013 at 7:29 am

  habari Dina..mm ningependa kukutana na aunty sadaka, ni mwanamke ambae napenda nimwite mfano kwangu..na nimwana saikologia, kwann napenda kukutana nae na ningependa kuongea nae nn? muda mrefu sana nimekua nikiskia kipndi chake clouds na nimekua na hamu sana nimskie akiongelea swala la wanawake na kutokujiamini..(self-confidence) haswa katika miili yetu, especialy kwa waschana wadogo wanaochipukia na hata wale wenye malengo lakini wanashindwa kutimiza ndoto zao kutokana na kutokujiamini. asante sana.

 55. lilian bitegeko

  February 13, 2013 at 7:40 am

  I rill wana met with my role model Mange Kimambi hyu dada inspite na mapungufu aliyonayo lkn anajiamin na anachokifanya she is good kwa kwel

 56. Geofrey Mushumbusi

  February 13, 2013 at 7:40 am

  Mimi Geofrey George ningependa sana kukutana na kuongea na Mh Edward Ngoyai Lowassa hapa ningemuuliza kidogo kuhusu changamoto alizopata mara baada ya kujiuzulu kuwa waziri mkuu na je jamii ama wapiga kura wake walipokea vp maamuzi haya pia anaushauri gani kwa wale wanaopenda kuingia ktk suala zima la siasa?

 57. Geofrey Mushumbusi

  February 13, 2013 at 7:44 am

  Mimi ningependa kukutana na Mh Edward Ngoyai Lowassa na kuongea nae kuhusu changamoto alizopata mara tu baada ya kujiuzulu kuwa waziri mkuu, wananchi au wapiga kula wake walichukulia vp maamuzi yake hayo na pia ni ushauri gani angependa kuutoa kwa vijana wanotaka kuingia ktk siasa?

 58. MOJAONE

  February 13, 2013 at 10:52 am

  Ni ww tu Dina, Nikuone machoni kwa karibu.

 59. Anonymous

  February 13, 2013 at 11:02 am

  ningependa kukutana na jerald hando maana ni mcheshi sana…

 60. Anonymous

  February 13, 2013 at 11:07 am

  mm nikependa kukutana na DR. Mhe. Mch.Getrude Lwakatare wa Mlima wa moto. Anipe siri ya mafanikio yake.

 61. Anonymous

  February 14, 2013 at 9:49 am

  Mimi ningependa nikutane na Rais Kikwete nimweleze kuhusu sisi wanawake tunavyotaabika kutafuta maisha, wenye nafasi zao maofisi wanatuzungusha kwa mfano, kutafuta hati ya makazi huko Ardhi nk. sijui wanataka nini wakati hela ya kuonga hatuna kila siku mafaili yanapotea.

 62. Anonymous

  February 14, 2013 at 10:31 am

  mimi ningependa kukutana na Sinta aniambie huwa anajisikia vipi anapotukanwa kwenye blog yake na kwa nini anaentertain halii hiyo.

 63. Anonymous

  February 14, 2013 at 10:31 am

  Wa kwanza ni Joseph Kusaga is my inspiration nawa pili ni Zitto kabwe the guy is very nice mzalendo wa kweli hajali wewe ni nani na una nini. Hawa watu wawili wanatabia zinazoshabiana.

 64. Anonymous

  February 14, 2013 at 10:36 am

  Duu kweli ninao wengi wana ni inspire ila wawili ambao kwa uwakilishi wao ni Joseph Kusaga ni mfanyabiashara mjasiriamali mzuri na anajaribu kila anaepitia mikononi mwake kama vile kwenye kampuni zake nae awe mjasiramali, mbunifu nk.

  Wapili Zitto Kabwe kwa upande wa kisiasa ni mzalendo wa kweli

 65. Anonymous

  February 14, 2013 at 11:47 am

  Napenda nikutane na Irene Uwoya, nampenda jinsi alivyo, anavyoigiza nafikiri nitajifunza mengi kutoka kwake…

 66. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:12 am

  Napenda nikutane na wewe Dina Marios. Nakupenda sana unavyotangaza,kama nipo nyumbani Jtatu up Ijumaa kuanzia saa4 mpaka saa 7 huwa nafungua Clouds fm kipindi cha LEO TENA na Dina Mario. Dina sio siri yaani hata kama nimechoka nikisikia tu sauti yako najikuta na nguvu zinakuja za kuweka mazingira ya Nyumba vizuri. I LIKE U.

 67. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:15 am

  katika maisha ni kweli hakika kuna watu wanaweza fanya maisha yako yakabadilika kutoka moja hadi lingine hasa pale maneno yao yanapokuwa chachu ya wewe kujiamini na kuona yote yanawezekana.

  Mtu wa kwanza ambaye ningependa kuonana nae ni Dr. Fennela mkangara kwani kwa ni mtu shujaa na kiongozi shupavu anayeamini kila kitu kinawezekana.na naweza sema maneno yake kila siku ni chachu ya kunifanya niamini naweza na kutamani kufanikiwa zaidi.

  Mtu wa pili ni Aunt sadaka, aliwahi kuongea nikaona kama roho amemtuma aniseme mimi, ila maneno yake yalinifanya niamini kila kinawezekana,hasa ukiwa na nia na imani chanya juu ya nafsi yako. Ni mfano wa kuigwa katika jamii kwani uhalisia watu wengi wakiwemo mimi tupo hapa tunaamini tunaweza kwa ajili tu ya maneno yao..
  liysa.

 68. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:26 am

  Hi Dina
  Tunashukuru sana kwa kutupa hii fursa. Ki ukweli me binafsi ningefurahi sana siku ningekutana na Janeth Sostenes Mwenda. Huyu dada me nampenda sana (SI KIMAPENZI)napenda anavyoendesha kipindi chake Clouse Tv (Ongea na Janeth) Yani anamada ambazo huwa zibnanigusa sana kwa namna moja ama nyingine amenifanya mpaka niombe urafiki nae kupitia Facebook. kwa leo ni huyo.

 69. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:33 am

  Kwa kweli ningependa kukutana na vannesa mdee nampenda sana hasa sauti yake jaman..

 70. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:51 am

  Ningependa kukutana na Diamond ili niweze kumwelezea maisha yanaendaje

 71. Anonymous

  February 15, 2013 at 10:56 am

  da m nampenda sana Millady Ayoo the way anavyoongoza kipindi chake na nikikutana naye nataka nimuulize siri ya mafanikio yake

 72. Tumaini Valentine

  February 15, 2013 at 11:20 am

  Na Millady Ayoo

 73. Anonymous

  February 15, 2013 at 12:16 pm

  Ki ukweli NATAMANI SANA NIKUTANE UTHO KWA UTHO NA WAZIRI ANAYEHUSIKA NA AJIRA KWA VIJANA NIMUULIZE SWALI HILI
  . HIVI INAKUWAJE SHIRIKA LINAKUCHUKUWA MTU KAMA KIBARUA(temporaly) KWA ZAIDI YA MIAKA MITATU AU MINNE THEN WANAKUSITISHIA MKATABA NA KUMWAJIRI MTU MWINGINE MPYA FRESH FRM SCHOOL HALAFU WANASEMA WENGINE TUJIAJIRI TUNAJIAJIRI KUTOKANA NA PESA ZIPI?? JAMANI KWA KWELI AH MUNGU MWENYEWE ANAJUA.

 74. Anonymous

  February 15, 2013 at 12:19 pm

  WANONGEZA WASOMI BILA YA KUANDAA AJIRA NA SI KWAMBA AJIRA HAZIPO LA HASHA AJIRA ZIPO KIBAO BALI KILA MTU BILA MJOMBA ,SHANGAZI,KAKA,BINAMU kazi huwezi kupata ndo kama mimi hapa.WATU HAWANA HURUMA MTU UNAJITOA KUFANYA KAZI HATA BILA OT UNAJITOA KWA MOYO LAKINI MWISHO UNAONEKANA HUNA MAANA LOH! EE Mungu we!Mhu!

 75. Anonymous

  February 15, 2013 at 4:43 pm

  Ningependa kukutana na Ridhiwani Kikwete. Nina mengi sana ya kuongea nae kuhusu maswala muhimu ya vijana waliopembezoni. Si kwa vile ni mtoto wa Rais bali nadhani ni kijana msikivu na mwenye mawazo kwa vijana.

 76. Anonymous

  February 15, 2013 at 5:59 pm

  Mi ningependa kukutana na Dina marios coz ananinspire sana very beautiflul anajielewa real real like her

 77. Anonymous

  February 16, 2013 at 9:43 am

  MININGEPENDA KUKUTANA NA RUBEN NDEGE NIMSISITIZE ARUDIANE NA DINA MARIOS KWANI WALIKUWA WANAPENDEZEANA SANA,YANI NIMECHUKIA SANA MLIVYOACHANA KWELI TENA MEMIND SANA

 78. Anonymous

  February 16, 2013 at 7:39 pm

  hii dinna kiukweli mimi ningependa nikutane na aunt Sadaka coz naipenda sana kazi yake pia napenda angenielezea japo kwa kifupi jinsi anavyofanya kazi zake kwani hata mimi napenda sana kufanya kazi kama yake

 79. Anonymous

  February 16, 2013 at 8:36 pm

  miningependa kukutana na team nzima ya leo tena coz najifunza mengi kupitia hiko kipindi

 80. Anonymous

  February 17, 2013 at 3:07 pm

  Naitwa Onesmo C Kway wa Arusha Dada dina Mm ungenikutanisha na Arnold Kayanda wa Jahaz .. Kwelì mtangazaji huyu ameni inspire sana toka alipokuwa akifanya top 20. Nataka kuzungumza nae mambo mengi sana ikiwemo kuwa anawezaje kuishi maisha ya kawaida kabisa tofautì na watangazaji wengine au hata mastaa kiujumla na pia nimwlize njia gan kapita na huwa anafanya nn mpaka anaweza kufanya kazi kwa ufanisi kwa kiasi kikubwa namna hiyo mfano makali aliyotoka nayo kwenye kipindi cha 20 top na kuhamishia makali hayo na kuzìba bengo lililokuwa limeachwa na Capten Gadna G Habash r

 81. Anonymous

  February 17, 2013 at 4:36 pm

  hi! mimi nina penda sana na natamani sana katika maisha yangu siku moja nije kukutana na timu nzima ya power breakfast ikiongozwa na Gerald Hando na pia natamani nikutane na timu ya leo tena kiongozi akiwa ni wewe Dina Marios nawapenda sana tena sana kwa utendaji wenu na kila kitu natamani na najifunza mengi kupitia ninyi natamani siku ndoto zangu zitimie kwani nilishawahi kuota kwamba nipo nanyi na nilifurahi sana hadi leo nikikumbuka nasikia vibaya kwa sababu haikua kweli. nawapenda sana siwezi kulinganisha na chochote. kazi njema. I LOVE YOU ALL PB AND LT…………

 82. Anonymous

  February 18, 2013 at 7:15 am

  Hi, ningependa kukutana na Nancy Sumari,nampenda napenda life style yake nahitaji kujifunza mambo mengi toka kwake nawish nionane she is my Role Model

 83. Anonymous

  February 20, 2013 at 10:33 pm

  WEMW SEPETU ningefurahi sana sana sana,,,,,,,,nampenda hadi basi wakimuongelea vibaya naumia natamani nikutane nae nimwambie baby tulia mummy…people luv u,mi hata wamnangaje bado nampenda nimeskia interview ya Diamond na Diva yani LI Diamond limemuongelea vibaya Wema nimelichukia!!!!!!!!!!!!!natamani ningekuwa mshauri wa Wema ningemshauri pia kuhusu msrsfiki na boyfriends wa kuwa nae sio kama Diamond coz huwez kuachana na mschana then ukaja muongelea vibaya,,,WEMA SEPETU am ur fan forever no matter what!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

 84. Anonymous

  February 21, 2013 at 8:40 am

  Mie ningependa nikutane na Edward lowasa natamani kuzungumza nae Mambo mengi ya kisiasa na maoni yake kwa ujumla juu ya tunakotoka na muelekeo wa siasa ya Tanzania kwa ujumla..

 85. Anonymous

  February 22, 2013 at 6:23 am

  Wema Sepetu nampenda mpaka basi hata nisikie wamemwandikaje kwenye magazeti mie nampenda sana!!!
  Big up Wema kwa ofisi nzuri uliyofungua Mungu akutangulie nimependa sana wall paper za ofcn kwako

 86. Anonymous

  February 22, 2013 at 9:21 pm

  WEMA SEPETU DA DINA

 87. WAKUZATA

  March 5, 2013 at 3:10 pm

  Dina, mtu ambaye natamani kukutana naye ni Joseph Kusaga, naamini kama siyo yeye asilimia kubwa ya vijana mnaojinafasi Clouds Media msingepata nafasi hiyo…ni mtu anayeoonekana kujali vijana na kuwasaidia wafike mbali tofauti na mabosi wengine wanaowaona wafanyakazi wao kama Punda bila kuwawezesha kimasilahi na maisha kwa ujumla. Ni hayo tu.

 88. Anonymous

  March 11, 2013 at 10:57 am

  Wema Sepetu,fetty wa clouds,da dina ,millard

 89. Anonymous

  May 7, 2013 at 10:14 am

  nampenda sana wema sepetu nahisi siku nikikutana nae ntaandika istoria katika maisha yangu hata nisikie wamemuandikaje i will steel love her in to my hurt wema mama yuko up

 90. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:12 pm

  nnimefurahi dada dina kutoa mada hii jamani nampenda sana WEMA SEPETU WA SEPETUNGA miaka miaaaaaaa tunakupenda WEMA uko so real, Hulingi jamani natamani kukuona hata nikushike mkono una mvuto wa ajabu na hiki kitu ni watu wachache duniani wanacho watu hua mpaka wanalia wakikuona wema tunakupendajeeeeeeeeeeee kuna siku nilikuona shopaz plaza nilikuona kwa mbali jamani nilitamani kupiga kelele ndani i was like whaooooooo wema sepetuuu oooh my GOD live namuona nilianza kupiga simu kwa rafiki zangu hamuwezi amini namuona wema sepetu jamnii ni mzuri alafu ni kweli anaonekana ana confidence hicho ndicho nachokipenda kutoka kwake. tunakupenda sana wema jamniiiiiiiii

 91. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:31 pm

  wema sepetu jamaniiiiii nasikia hata kuumwa ningependa kumuona na kumuuliza mambo wengi ya maisha tunakupenda sana wema tunatamani kukuliza kila kitu ila ningependa kumwambia afungue wema sepetu foundation kwa ajili ya kusaidia watu ana moyo wa upendo jamani ndio maana akaitwa wema coz anawema wa upendo anawema wa uzuri she is so wonderfuly

 92. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:36 pm

  wema sepetu nampenda huyu dada sana tena sana ningefurahi kuonana nae hata redioni au tv au gazeti chochote kikitangaza kuhusu wema napagawa na mara nyingi gazeti nikiona sura ya wema lazima ninunue ili nijue kuna nini mbona wema katoka kwenye gazeti am so crazyyyyyyyyyyyyyy love u wema all the best in u life kweli uko so real ningekuona ningekuambiauwe na vitega uchumi vingi ili vikusaidie maishani kwako kwa maana uko juuuu sana unanyota ya ajabu nahisi hua unaota ndoto unapaaa ogopa sana mtu anayeota ndoto anapaa nataka kumuliza hili swali kama alishawahi kuota anapaa angani.love u so much wema sepetu wa sepetunga

 93. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:39 pm

  sipendi kumuona mtu yoyote tanzania zaidi ya wema sepetu na ngemuuliza anapewa na nani ushauri wa mambo yake napenda siri za mafanikio yake mambo yake mengi anafanya kimyakimya unashangaa ameshatenda . i real like her

 94. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:56 pm

  kweli hata mimi ningependa kumuona wema sepetu ningependa kumwambia mwanaume bora yupo kwa ajili yake ni diamond hamfai kabisa. nampenda sana wema sepetu wa sepetunga

 95. Anonymous

  May 7, 2013 at 2:00 pm

  jamani wema kwa kweli nitafurahi yani kupita kiasi kumuona wema sepetu na ningemwambia nampenda jinsi anavyoweza kupambana na maisha yake haswa naguswa na pale anapopigania kitu anachotaka mpaka mwisho yuko imara sana. nakupenda wema sepetu kupia kiasi jamani mwe mwe mwe

 96. Anonymous

  May 7, 2013 at 6:19 pm

  Mange Kimambi, sababu alikuwa hata hajaanza biashara na meanza kwa kubuni mengi jinsi ya kuuza nguo zake na pia kuamua kupata watu wa kumshonea nguo za kiafrica na kwenda kuuza hata nje ya nchi na online hadi e-bay. nasema sababu napenda kujua biashara nami niweze kufanya biashara ila kupata mawazo na kujifunza kwa biashara nyingine yoyote ni njia nzuri ya kwenda mbele.

 97. Anonymous

  May 8, 2013 at 7:31 am

  mambo da dina nakupenda wewe kukuona pamoja na wema sepetu wote kama ningepata bahati ya kuwaona ningewauliza nini malengo yenu ya baadae na ningependa kujua mengi kutoka kwenu hususan katika mipango yenu ya maendeleo ya maisha yaani mna miradi mingi ya kubuni ningependa mnifundishe na mimi jinsi ya kuwa active na maisha nawapenda sana

 98. Anonymous

  May 8, 2013 at 7:35 am

  nitafurahi sana kumuona wema sepetu na miladi ayo ningependa kuwauliza wanawezaje kushinda changamoto za maisha

 99. Anonymous

  May 8, 2013 at 7:47 am

  mimi kwa kweli jamani ningependa kumuona wema sepetu nimeipenda sana hii mada ni ndoto yangu kweli siku nikimuona nitataka kumshika mkono nimsalimie mara nyingi hua napita pale kinondoni studio hua naliona gari la kampuni yake ya endless flame nikawa natoa macho ka mdudu wa kisamvu jinsi ambavyo nimepagawa nilijua yupo pale kumbe hakuwepo ningependa kumuliza anajisikiaje kutafuta pesa akiwa bado mdogo na kufungua miradi mbalimbali nasikia nanatarajia kuanzisha kipindi cha tv cha reality show sipati picha kitakuwa kizuri naona nitalala kwenye tv kuangalia kwa kweli nitafurahi kumuuliza amewezaje kupata mafanikio hayo> nakupenda sana wema sepetu

 100. Anonymous

  May 8, 2013 at 10:36 am

  me,mange kimambi,uwiiiii nampenda mpaka basi,yaani nisipo fungua blog yake siku 2 naona kama mwaka.

 101. Anonymous

  May 9, 2013 at 1:45 pm

  me janet sosthenes mwenda 2

 102. Anonymous

  May 9, 2013 at 2:27 pm

  janet sosthenes mwenda huyu dada kanfundisha mambo meng mazur

 103. Anonymous

  May 12, 2013 at 11:50 am

  Mimi nikutanishe na VICENT KIGOSI (RAY)…………. Jamaa namkubali ile mbaya.

 104. Anonymous

  May 13, 2013 at 8:15 am

  Dr mwakyembe na wema sepetu

 105. Anonymous

  May 13, 2013 at 8:21 am

  mheshimiwa Harrison mwakyembe…. ningependa kuonana naye kwani ni kiongozi jasiri, alihatarisha maisha yake kwa faida ya Taifa letu. anafanya kazi zake kwa ujasiri bila kumuonea mtu aibu… ana vigezo vyote vya kuwa kiongozi bora na wa kuigwa vizazi vijavyo…… hongera sana Dr mwakyembe…. you are my HERO…….. carry on to the end………… kama tungekuwa na viongozi kama mwakyembe na magufuli nchi hii ingepiga hatua kubwa sana…thanx

 106. Anonymous

  May 15, 2013 at 2:55 am

  ningependa kukutana na mheshimiwa ………………kwani ni kiongozi jasiri na anamapenzi ya na watu wote.

Leave a Reply