Uncategorized

NILIPO KUWA KATIKA SEMINA YA TUSONGE MBELE ILIYOANDALIWA NA OXFAM

By  | 
 Mabalozi wa Oxfam tulikutana katika semina ya siku tatu tukiwa na mama shujaa wa chakula wa mwaka jana 2012.Mama shujaa wa chakula ni shindano linalowahusisha kina mama wakulima kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania.

Mwanahamisi Salim campaign manager wa Oxfam akiendesha semina
Balozi mwenza Shamim Mwasha anaonekana hapa tulikuwa tunacheza mchezo flani ulio kama fumbo.
Nikiwa na balozi mwenza mbunifu wa mitindo Khadija Mwanamboka.

2 Comments

  1. emma kahere

    February 15, 2013 at 3:13 pm

    Semina kama hizi ni nzuri sana nahuwa zinajenga na kukufanya uzidi kupata elim ya kutosha kuhusu jamii.,yani dina me nakupendea hapo tu.,uko kipaumbele sana katika jamii yako ndo maana your my rolal modal.,Mungu akujalie

  2. Anonymous

    February 18, 2013 at 12:56 pm

    hongeraaa dinaaa….. yur doin real greatt

Leave a Reply