Uncategorized

NIMEPATA SPANX..

By  | 
Kuna siku vilivaa kigauni changu hikii ilikuwa samsung week mwaka jana.Nilipata maoni mengi kama haya…NARUDIA TENA DINA TAFUTA SPANX KM BONGO HAMNA BASI MWAMBIE SHOSTI WAKO
WOWOTE ULAYA AKUNUNULIE. UMEPUNGUA VIZURI SN SN HATA MKONO UNAPENDEZA
ILA TUMBO BADO GAUNI ULOVAA NZURI SN SN ILA INGEKAA VEMA HAPO TUMBONI KM
UNGEIVALIA SPANX. KIFUA IMETILIA HASA KAZI CHINI HAPO PANACHUKUA MUDA
KUPUNGUA I KNW SO TAFUTA NAMNA YA KUPAKABILI HUKU UKIWA UNAENDELEA NA
GYM SPANX SHOSTI ITAKUTOA KIN OPRAH WOTE BILA HIYO HAKANYAGI MATUKIONI
COZ NI WANENE. HATA WEMBAMBA PIA KUNA FLANI INAKUBIDI KINA
KADASHIAN,BEYONCE,J HUDSON NA WENGINE. YANI IYO GAUNI IMEKUTOA SN HASA
MAENEO YA KIFUANI.
Nilizitafuta sana zipo lakini ile inayokaa vizuri natumbo lisionekane inakuwa kazi kweli kweli kuzipata kwa hapa Dar.Nyingine zinaumiza unakuwa haupo confortable kabisa.
 Namshukuru sana sana Aunty Faiza wa Beuty pointy kwa kuniletea hii nilienda kuichukua na nikaijaribu imekaa freshy kabisa.
 Kupungua nimepungua kwa sababu nafanya mazoezi pale Azura.Lakini kama mjuavyo tumbo huwa gumu kuisha hasa la chini.Nikavaa spanx yangu nikajaribu tena na gauni lile lile na muonekano ndio huo hapo.
 Anazo dukani kwake beuty point pale mayfair plaza mikocheni.Zina bei kidogo kama unajimudu na unataka ubane tumbo wakati unavaaa gauni yako kwenda kwenye events,harusi,dinner na mpenzi wako.Women celebration inakuja tarehe tatu mwezi ujao ukiipata hii ukavaa na gauni lako itapendeza.
Anaziuza dola 300 au mpigie kwa namba 0713276486

27 Comments

 1. Anonymous

  February 20, 2013 at 2:16 pm

  Mimi nakitaka ila hiyo bei kweli. ngoja nizichange kwanza

 2. RUKY

  February 20, 2013 at 2:25 pm

  mmmmh hayo ndiyo mambo japo umegongwa c mbaya urembo garama….bongo km ulaya…

  • MOJAONE

   March 9, 2013 at 11:30 am

   Karibu nusu million hiyo, ni mshahara wangu wa mwezi mmoja, ingawa urembo ni gharama mie siwezi kumnunulia mke wangu mwache tu na tumbo lake.

 3. Anonymous

  February 20, 2013 at 2:42 pm

  Kama unapenda kupendeza yani nguo ikukae vizuri, hutajali gharama. Na mi nitaenda kununua ya kwangu. Asante Dina.

 4. Anonymous

  February 20, 2013 at 3:16 pm

  IMEKUKAA KWELI RAHA YA PRAXY INAFICHA TUMBU NA KUWEKA SHEPU VIZURO
  KARAHA HUPUMUI UKIKAA HUWEZI JIACHIA. KWA KWELI KUKONDA NI NIA UMEPENDEZA HASWA

 5. Anonymous

  February 20, 2013 at 4:46 pm

  U look guwd sweetlove…keep it up.. Femmy..

 6. Anonymous

  February 20, 2013 at 7:07 pm

  da dina wewe ni mrembo kwa kila namna, namaanisha una vijikasoro vichache ambavyo ni kawaida as hakuna aliye kamili kamili, napenda miguu yako lakini sijui kwanini huwa una i cross mara nyingi, jiamin, utapendeza zaidi, with love, S

 7. Anonymous

  February 20, 2013 at 7:35 pm

  Dina,nimekiona kitanda chako hadi nikatamani kukilalia jamani!! Hahahahaaaaaaa kumbe hapo ndipo unajitupa na kujimwagaaaaa!! Umependeza sana.Ila hiyo bei ya hicho kiwalo du ama kweli heri niliache tumbo maadamu si ugonjwa.

 8. Anonymous

  February 20, 2013 at 7:54 pm

  Asante dina…ngoja nitaisaka huku niliko.

 9. Anonymous

  February 20, 2013 at 8:14 pm

  NOW YOU ARE TALKING MWANAMKE MWENZNGU BLOG WAKATI MWINGINE ZINASAIDIA SANA. HAYA SASA UMEONA ULIVOPENDEZA HAPO KATI?????? HATA MPENZIO ATAJISIKIA KUKUTONGOZA TENA MANA WAONEKANA MPYA ATI HA HA HA HA . SASA IZO ZINKWENDA NA NGUO KUNA ZA KM CHUPI INAPANDA MPK YUMBONI, KUNA ZA KM SKIN TYT INAPANDA MPK TUMBONI. UMEFANYA CHAGUO ZURI COZ HIYO INASHEPU MPK KIFUA NI TABU MWANZONI ILA KWAKUPENDEZA HUKO SHOGA GANGAMALA

 10. Anonymous

  February 21, 2013 at 5:57 am

  asante dina ila hiyo bei ni balaa kubwa ngoja tujipange mwaya…..300×1600=………

 11. Anonymous

  February 21, 2013 at 6:57 am

  mwenzangu bei kweli lakini nzuri sana.

 12. Anonymous

  February 21, 2013 at 6:57 am

  du bei yake sasa

 13. Anonymous

  February 21, 2013 at 6:59 am

  Sawa utapendeza kwa nje, kasheshe mtu wako mkiwa faragha ndo atashangaa ukivua nguo, mvuto unakwisha anasepa tu.

 14. Anonymous

  February 21, 2013 at 7:45 am

  waooo jaman iko poa kwa wenye matumbo ila yataka moyo kama mlevi na mikojo ya kila dakika mh kazi kweli kweli

 15. Anonymous

  February 21, 2013 at 8:26 am

  WHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAATTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT?????????????? DOLA WHATTTTTTTTTTTTTTT???????? NITABAKI NA TUMBO LANGU KWANI UGONJWA

 16. Anonymous

  February 21, 2013 at 8:26 am

  TUNAFANANA PUA TU MJINI HAPO LOL !!!!!

 17. Mama 2 (Mrs M)

  February 21, 2013 at 11:43 am

  Umependeza sana! Imekukaa vizuri!! Kweli ukitaka uzuri sharti udhurike, hiyo bei ni balaaa!!!

 18. Anonymous

  February 21, 2013 at 5:27 pm

  Mara nyingi nimeambiwa usije kuchagua mke wa kuoa kwa kuangalia sura ya nje na umbile, kumbe ni kweli unaweza kununua mbuzi kwenye kiroba ukifika home uchinje unaona jiwe hahahahaaaaaaa.Upoteze $300 kwa ajili ya kuziba tumbo??? ambalo ni umbile na unaweza tu kuliondoa.Mmmm huh!! wanawake mna kazi kweli kweli.Mimi ni mwanaume Dina nimempenda sana tu hata hajaweka hicho kiwalo.

 19. Anonymous

  February 21, 2013 at 6:23 pm

  Umependeza kiukweli bei ya hyo kitu mhm ,

 20. Anonymous

  February 22, 2013 at 12:42 am

  Dina kwa bei hiyo mi nitakuletea tano za qwality na risiti genuine nipe size yako!!!!!huyo anauza bei ya juu sana!!!

 21. Anonymous

  February 22, 2013 at 10:13 am

  Mmmmhh hiyo bei ila ukiwa nazo una chop tu. nashukuru mi ni mnene ila sina tumbo nilikuwa nahofia nikijifungua ila nililifunga balaaa. pia huwa nakunywa maji ya moto nachanganya na mdalasini kabla cjala kitu napenda kupendaza. umependeza dina.

 22. Anonymous

  February 22, 2013 at 1:20 pm

  Minimeziona hongkong M&S hazifiki hata dolla mia nilikufikiria kweli dina ila sikujua tu size yako..inshaalah soon naenda nitawasiliana nawe uniambie size yako nitakuletea

 23. emma kahere

  February 22, 2013 at 5:40 pm

  Yes n nzur sana wa2 weng huwa wanapendeza

 24. Anonymous

  February 23, 2013 at 1:40 pm

  Dina me nafanya diet na mazoez en nmepungua xana but funny enuf xpungui mikono iko pale pale nyama znatepeta na cpend kabxa wat shud I do?

 25. mariam gama

  February 24, 2013 at 7:45 am

  DAH UMEPENDEZA KWELI, LAKININI KATI YA V2 VNAVYO NIFANYA NIKUPENDE NI EEWE KUTOKUWA MCHOYO NA MAFANIKIO YAKO NA KWA MTU MWINGINE KAMA ULIVYO PATA SPAX UMEMTANGAZIA BIASHARA YAKE, NYC MDADA KP UP. HOPE WANAWAKE WOTE 2NGEKUWA KAMA WEWE TUNGAFIKA MBALI.

 26. Anonymous

  June 27, 2013 at 10:02 am

  Weengi tunapenda tatizo linakuja kwenye pesa,hiv za mtumba hakuna na siye tununue?

Leave a Reply