Uncategorized

PAPA BENEDICT ATANGAZA KUJIUZULU LEO!

By  | 
Papa Benedict wa kumi na sita ametangaza kujiuzulu cheo hicho cha upapa.Sababu alizozitoa ni za kuwa afya yake sinzuri  na ameshauriwa na daktari kufanya hivyo.Inasemekana anafika wakati anasahau sahau vitu.Papa Benedict ambae anamiaka 85 sasa ataachia cheo hicho rasmi tarehe 28 mwezi wa pili.
Ni papa wa kwanza kujiuzulu baada ya Papa Gregory xii kujiuzulu mwaka 1415 miaka 600 iliyopita.Hali hiyo itapelekea kuchaguliwa papa mpya kabla ya pasaka.

11 Comments

 1. emma kahere

  February 11, 2013 at 5:00 pm

  Mungu amuongoze,kwan nikweli alikuwa aishi kuumwa umwa.get well soon pope

 2. RUKY

  February 11, 2013 at 5:22 pm

  mi nimesikia vibaya au mbona nimesikia pia kwamba ni kutokana na kukosa suport na nk

  • Anonymous

   February 12, 2013 at 9:11 am

   HAYO UMEYASEMA WEWE NA KUYASIKIA WEWE.SI UMESIKIA SABABU YA KUJIUZULU.
   PUMZIKA PAPA, TUNASHUKURU KWA KUCHUNGA KONDOO WAKO

 3. Anonymous

  February 12, 2013 at 6:06 am

  Japo bado tulikua tunamuhitaji basi tena hatunajinsi tunamshukuru kwa kutuongozea kanisa letu vizuri na mungu baba azidi kumuimarishia afya yake, na roho mtakatifu autakase moyo wake. Natumuombe mungu atusaidie kumpata kiongozi mwingine.

 4. Anonymous

  February 12, 2013 at 4:24 pm

  Mungu amponye maradhi yanayomsumbua na ampe afya nje. Tunamshukuru kwa kutuongoza vyema wakatoliki. Mungu atujalie kupata pope mwingine mwema. Amen!

 5. RUKY

  February 12, 2013 at 5:32 pm

  mmh unaasira pole umeachwa nini? ndiyo maisha lakini usijali dear

  • Anonymous

   February 14, 2013 at 5:44 pm

   huna lolote, hiyo habari umeipatia wapi leta na source kabisa, kumbuka huyo ni baba mtakatifu, mie siwezi kuachwa labda niache, wanaoachwa ni watu waropokkaji kama wewe.shame on you

 6. Anonymous

  February 13, 2013 at 9:09 am

  WANASEMA KILICHOFANYA AJIUZULU NI MAKASHFA KIBAO TANGU AINGIE KWENYE HUO UONGOZI, HILO LA UGONJWA NI GERESHA TU, ILA HIZI NI TALALILA TU ZA BINADAMU SI UNAJUA NDO NATURE YAO, YA KUCHUKUA NI YA UGONJWA

 7. Anonymous

  February 13, 2013 at 11:36 am

  lazima kutakuwa na kitu ameshinikizwa huyo si bure

 8. Mama 2 (Mrs M)

  February 13, 2013 at 12:57 pm

  Namtakia mapumziko mema!!

 9. MOJAONE

  February 13, 2013 at 2:25 pm

  HANA TAMAA YA MADARAKA

Leave a Reply