Uncategorized

R.I.P GOLDIE

By  | 
Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Naigeria na Afrika kwa ujumla wamepokea kwa masikitiko habari za kifo cha mwanamuziki wa kike Goldie.
Goldie aliiwakilisha Nigeria mwaka jana katika jumba la Big Brother Afrika mchezo ulioitwa Star Game.
Goldie alikuwa US kwenye tuzo za Grammys na aliwasili jana hiyo hiyo kabla hajaanza kuumwa ghafla na kukimbizwa hospital na baadae taarifa kutoka kuwa hatunaye duniani.
 Kwenye jumba la BBA Goldie alikutana na mwanamuziki wa nchini kenya Prezzo na kuwa wapenzi.
Prezzo alimvisha pete ya uchumba Goldie wiki kadhaa zilizopita na ilisimekana wanafunga ndoa mapema mwaka huu.Jana hiyo hiyo prezoo alikuwa akienda kukutana na mpenzi wake ikuiwa ndio siku ya wapendanao  kufika anakuta ameshafariki.
Goldie alikufa mikononi mwa best friend wake ambae ni mwanaume Denrele Edun.Na hivi karibuni walikuwa wanaanza kipindi chao cha reality tv show cha Goldie and Denrele: True Friendship.Alikaririwa akisema wakati amerudi kutoka US alikuwa na energy na furaha lakini ghafla hali ikabadilika akaanza kuumwa kichwa mpaka mauti kumkuta.
May her soul rest in peace!

10 Comments

 1. Mama 2 (Mrs M)

  February 15, 2013 at 11:47 am

  Ni kifo cha ghafla kweli, pole kwa Prezzo, Wa-Nigeria na wanamuziki wote wa Africa. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi Amina!!

 2. Anonymous

  February 15, 2013 at 11:55 am

  RIP Goldie,
  namuonea huruma prezoo ndo maisha mungu akipanga akuna anayejua nini kinafuata baada ya sekunde, ndo maana tunaambiwa dina binadamu utakiwa kusema namchukia fulani, akifa unashindwa ata jinsi ya kujielezea.

 3. Anonymous

  February 15, 2013 at 12:03 pm

  Apumzike kwa amani, naamini kifo akikosi sababu.
  Dina basi tukikuuliza maswali utujibu kutupa moyo, tuna comment lakini we kimya siyo vizuri. Msalimie Kaka Reuben. Me irene wa magomeni

 4. Anonymous

  February 15, 2013 at 12:40 pm

  DU! Pole Yake Prezzo kipenzi chake lakini akumbuke Kumshukuru mungu kwa kila jambo.Rest In Peace Binti.

 5. ULSURA

  February 15, 2013 at 2:36 pm

  RIP Goldie alimpenda sn Prezoo kama ulifatilia Big brother Afrika,alipigania sn kuwa na Prezoo na Mungu aliwakutanisha! Nayy ndo kachukua kiumbe chake pole sn kwa bro yote ni mipango ya Mungu.

 6. emma kahere

  February 15, 2013 at 3:09 pm

  Yani mwanzo wa mapenz huwa mtam sana nando ilivyokuwa kwa prezzo na goldie.walikuwa ndo kwanza wanaanza ku enjoy penz lao.,ee yesu mlaze pema pepon goldie

 7. Anonymous

  February 15, 2013 at 8:52 pm

  RIP Nimesikia ni drugs complication.

 8. Anonymous

  February 16, 2013 at 6:14 am

  R.I.P Goldie, so sad kwa kweli! Pole Prezzo as well Mipango ya mungu aina makosa.

 9. Anonymous

  February 16, 2013 at 8:41 am

  Mi sielewi hizi habari za kuvishana na kuoana na Prezzo zimesambaa sana East Africa, Goldie was married to a white man and they have been together for 10 yrs na hakuna interview Goldie amesema ni mpenzi wa Prezzo ila ni marafiki, hata hilo jina la pili marehemu alilokuwa anatumia ni la mumewe.
  Prezzo was using Goldie to get fame in nigeria, mzungu wa watu kakasirika anamwambia Prezzo haiache family yake kumorn in peace maana amesababisha maumivu makubwa. There is nothing like kuvisha pete wala kumuoa…

 10. Anonymous

  February 18, 2013 at 8:22 am

  Kazimika kama mshumaa.
  Pole kwa wafiwa wote na walioguswa kwa namna moja au nyingika.

Leave a Reply