Uncategorized

WOMEN OF ACHIVENTS AWARDS 2013

By  | 
Tuzo za WOMEN OF ACHIVEMENT zimerudi tena.Kina mama kina dada mnahamasishwa kushiriki japo muda umeshatutupa mkono.
Tuzo hizo zinazoandaliwa na kampuni ya FRONTLINE zinatarajiwa kufanyika siku ya wanawake duniani tarehe nane mwezi wa tatu.Kesho tarehe 28 feb ndio mwisho wa kupokea fomu zenu za ushiriki.
Wanawake na wadada walioshinda mwaka juzi 2011 katika picha ya pamoja.Na mie nilishiriki nikala za uso ila sijakata tamaa nashiriki tena mwaka huu japo nimechelewa na mie kupeleka fomu yangu naipeleka leo.
CATEGORY ZILIZOPO ZA KUSHINDANIWA
The Public Sector Award The Arts & Culture Award The Social Welfare Award The Business Enterprenuer Award Young Achiever Award The Agriculture Award

  The Science & Technology Award The Information and Communication Award The Health Award The Education Award The Sports Award The Proffesion
  Haya jiangalie unafit wapi na wewe ushiriki mwaka huu.
  Unaweza kupata fomu yako online na ukaijaza  fasta maana muda umekwisha.
  http://twa.or.tz/wp-content/uploads/2013/02/TWAA-Nomination-Form-20131.pdf
  Kwa maelezo zaidi pia tembelea http://twa.or.tz/nomination/

5 Comments

 1. Anonymous

  February 28, 2013 at 7:52 am

  usikate tamaa mama wakati ule ulikuwa sio wako, wakati wako ndio huu, sasa na utafanikiwa my dear Dina

 2. Mama 2 (Mrs M)

  February 28, 2013 at 11:06 am

  Mimi ninaamini safari hiii utapata Dina! uko juu sana mdogo wangu unajitahidi sana! Usikate tamaa.

 3. RUKY

  March 1, 2013 at 12:48 pm

  YAP DINA GO! GO! ISHAALH UTAPATA

 4. dinamariesblog

  March 1, 2013 at 2:45 pm

  Amina dada mniombeee.

 5. Anonymous

  March 3, 2013 at 12:48 pm

  I hope utapata Dina,nitafurahi ukipata

Leave a Reply