Uncategorized

FACT:NYWELE ZA WANAUME(za kichwani) HUOTA HARAKA KULIKO ZA WANAWAKE.

By  | 
Wanawake tunauwezo wa kufuga nywele zetu zikawa ndefu kweli kweli kwa wale waliojaaliwa nywele zinazokuwa upesi.Lakini ukweli ni kwamba nywele za wanaume zinakuwa upesi kuliko za wanawake.Ndio maana kila wiki lazima waudhurie saloon.Nywele ni body tissue inayokuwa upesi kuliko yoyote katika mwili wa binaadamu.

1 Comment

  1. Anonymous

    April 1, 2013 at 12:20 pm

    mi nachojua ni kwa kua wanaume wanaosha nywele zao kila siku

Leave a Reply