Uncategorized

HONGERA NANCY SUMARI KWA KUZINDUA KITABU CHA NYOTA YAKO!

By  | 
ilikuwa jana katika ofisi za KINU
Sikuwepo bali picha nimepata kwa Shamim Mwasha aliyekuwepo kwenye uzinduzi.Pichani akiwa na Nancy Sumari.
Nancy akitia saini kitabu kwa wanafunzi waliohudhuria uzinduzi huo,pembeni Fina Mango.
Mamiss Tanzania waliopita walikuwepo kumpa sapoti mwenzao.Jackline Ntuyabaliwe,Nancy Sumari na Faraja Kota.
Kitabu hicho ni maalum kwa watoto wa kike kusoma na kuwajua wanawake mbali mbali wa kitanzania wanaoweza kuinspire maisha yao.
ALL THE BEST NANCY!

8 Comments

 1. emma kahere

  March 20, 2013 at 10:10 am

  Dina natamani nikipati ili nikisome,wanauza wapi,pliz nijulishe tafadhali

 2. Anonymous

  March 20, 2013 at 12:22 pm

  MRS CHACHE KAPENDEZA MWENYEWE

 3. Mama 2 (Mrs M)

  March 20, 2013 at 2:36 pm

  Mamiss wa wakati huo hawakuwa na skendo sana kama wa miaka ya hivi karibuni. Nampongeza sana Nancy! Huo ni mwanzo, Mungu atamsaidia atafika anapopahitaji. Kila kitu kinawezekana.

 4. Adela Dally Kavishe

  March 20, 2013 at 3:18 pm

  Natamani pia nikipate hiki kitabu nimeipenda sana hii hongera sana Nancy be blessed

 5. RUKY

  March 20, 2013 at 5:40 pm

  KWELI ANASTAHILI HONGERA TENA SANA KWANI NI UBUNIFU MZURI SANA C KILA SIKU FASION ZA NGUO TU…MPAKA INA CHOSHA..NA ATAFIKA MBALI UKIZINGATIA UMRI WAKE ULIVYO MDOGO…ALL THE BEST

 6. Anonymous

  March 21, 2013 at 12:29 pm

  big up Nancy siyo kina wema wakitaka kufanyakitu lazima waite waandishi wa habari kukaa kupenda story mbaya mbaya kila conner.

 7. Anonymous

  March 25, 2013 at 1:17 am

  big up Nancy wanawake na maendeleo sio wote tunaishia kusagula nguo vibarazani nchi itaendeshwa na nani? hongera sana Nancy mfano wa kuigwa

 8. Anonymous

  March 25, 2013 at 9:08 am

  safi sana Nancy,hongera sana

Leave a Reply