Uncategorized

KARIBU ARUSHA….TUSKER LITE

By  | 
Wakazi wa jiji la Arusha wakifurahia ujio wa bia ya
Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya
Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza
kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga
na Moshi.

Mwanamuziki
wa Bendi ya Vibration ya jijini Arusha akiwaongoza mabalozi wa bia ya Tusker
Lite kucheza pamoja na wadau wa jijini Arusha katika hafla hafla ya uzinduzi wa
bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa
ijumaa.

Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi
kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na
yenye wanga kidogo sana katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo.

Nyaki
ambaye ni meneja mauzo kanda ya kaskazini akimtambulisha msambazaji mkubwa wa
bia za Serengeti kanda ya kaskazini
Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi
(mwenye gauni nyeusi) akiwa amepozi pamoja na wasanii wa jijini Arusha Nakaaya
Sumari kushoto kwake na Peter kutoka Arusha na kushoto kwake ni Peter Ngassa
mdau kutoka Dar Es Salaam katika hafla ya ya uzinduzi wa bia hiyo.

3 Comments

 1. Anonymous

  March 19, 2013 at 11:51 am

  Where did the event took place in Arusha?

  • Anonymous

   March 21, 2013 at 12:32 pm

   KIBO PALACE ARUSHA.

 2. Anonymous

  April 12, 2013 at 8:39 am

  OMG Nakaaya sikukufahamu kabisa uwii umenenepaje sasa?!!…Nilikua napenda sana umbo lako ulipokuwa unafanya mziki,ulikua role model wangu sasa yani uwii embu tuanze diet mama.
  kangaroo
  dar

Leave a Reply