Uncategorized

KATIKA TUZO ZA MWANAMAKUKA 2013!

By  | 
 Meza kuu alikaa waziri wa zamani wa fedha bi Zakia Meghji,aliyekuwa balozi wa Tanzania Marekani Mwanaidi Maajar….
Mgeni rasmi alikuwa Asha Bilal mke wa makamu wa rais
 Wageni mbalimbali

Mbunifu wa mitindo  Asia Idarous akiwa na mumewe
 Mbunifu wa Mitindo Khadija Mwanamboka akiwa na Susy Baltazari
Meneja masoko wa Dstv Furaha Samalu
 Hawa Mkamba

Nilikuwa na Getrude Mungai kutoka Kenya.Kama mnamkumbuka alikuja kitchen party gala mwaka jana mwezi wa kumi.Ila kitchen party gala inakuja Mwezi ujao kwa maana ya mwezi wa nne tarehe 27 jumamosi katika ukumbi mpya uliopo town.Endelea kutembelea hapa kwa taarifa zaidi Getrude atakuwepo pia.

 Sahamim Mwasha alikuwepo akiwa sambamba na rafiki

8 Comments

 1. Ruky

  March 15, 2013 at 2:12 pm

  Hi dina ulipendeza yani ulivaa kuendana na shughuli yenyewe….

 2. Anonymous

  March 16, 2013 at 2:29 pm

  Dina mbona katika hizo picha tunaona vigunge tu na mashosti zako hao washindi wa tuzo hiyo hawaonekani kulikoni au haikuwahusu zaidi ya wahudhuriaji?
  Tutupie tuona washindi tuliowapigia kura wakipokea zawadi zao ili kuonyesha kweli mlikuwa serious.

  Mama Halima, Kinondoni

 3. Anonymous

  March 16, 2013 at 3:29 pm

  umejitahidi!!

 4. Anonymous

  March 16, 2013 at 4:36 pm

  mama yangu! Dina umependeza sana sana na hiyo nguo! I wish nami ningeipata!

 5. Anonymous

  March 16, 2013 at 6:24 pm

  Wow Dinah hiyo ni killer dress. U look so elegant and attractive in it. Ave seen u look good before ila hapa umefunika, huyu designer wako usimwache. Christine

 6. Anonymous

  March 17, 2013 at 12:42 pm

  Ulipendeza sana Dina..

 7. Anonymous

  March 18, 2013 at 6:48 am

  umependeza sana dina

 8. Anonymous

  March 18, 2013 at 2:37 pm

  Dina hiyo nguo nyuma mbona hujatuonyesha? nimeutamanije mshono? Niambie Designer ni nani nikamuone.

Leave a Reply