Uncategorized

KIINGILIO KITCHEN PARTY GALA!!

By  | 

5 Comments

 1. Anonymous

  March 25, 2013 at 2:34 pm

  Huwa naipnda sana hii Dina! But kuna jambo linanikera sana, ni vizuri kubook meza ila kinachoniudhi ni huu umjini! Wote tunalipa kiingilio kimoja, hao meza zao zinakuwa mbele, ukifika unaambiwa hii meza ya kina fulani, inawezekana mm nimekata tiket mapema kabla, na kuingia ukumbini mapema pia y nikae nyuma? Unakuta sina campany ya marafiki so siwezi kubook meza! Kama vipi wekeni sehem ya VIP na kajambanani. Hili ndio linaniboa sana! Ila mambo mangine yoote huwa bam bam! Tunaomba na overload isiwepo tena! Tnx my love

  • Anonymous

   March 26, 2013 at 9:35 am

   nakuunga mkono ndau hapo juu asilimia 220. Dina tuambie ukumbi unaitwaje wengine pia huwa tunavutiwa na venue!

 2. Anonymous

  March 26, 2013 at 7:58 am

  toa contact basi!!!!

 3. Anonymous

  March 26, 2013 at 6:06 pm

  Je, umezingatia parking ya magari ipo pia ya kutosha? Siku hizi kwa matukio kama hayo kina mama/ dada wanakuja na usafiri wao siyo kupanda daladala wakafika hapo wananuka majasho ya kuminyana kwenye daladala.

 4. Anonymous

  March 28, 2013 at 6:38 pm

  naisi majibu yahayo mwezetu hapo juu yatatupa majibu yetu tuliyonayo.

Leave a Reply