Uncategorized

MTOTO WA MIAKA 8 ALIYEFUNGA NDOA NA MWANAMKE WA MIAKA 61 WANAENDELEA VIZURI NA MAISHA YA NDOA!

By  | 

 Ndoa hii iliyofungwa wiki iliyopita nchini ya Afrika Kusini kati ya mtoto huyo wa kiume mwenye miaka 8 Sanele Masilela na mwanamke wa miaka 61 Helen Shabangu na kuzua gumzo dunia nzima.

 Walipokuwa ndani ya suti na shela
 Katika mavazi ya kimila…inasemekana ndoa hiyo ilifungwa ili kutiii mila maana mzimu wa babu yake ulimuomba aoe kwa niaba ya babu yake ambae ni marehemu.

Mtoto Senele amepewa jina la marehemu  babu yake anasema babu yake alikuwa akisikitika kuwa hakuwahi kufunga a white wedding hivyo akamuomba afunge hiyo ndoa kwa niaba yake.Na yeye akamchagua Hellen kwani ni rafiki yake.Hellen ni mke wa mtu na pia ni mama wa watoto watano.

 Maisha yanaendelea,Mtoto Sanele akipata chakula nyumbani kwa Hellen!
 Sanele akiwa amerudi katika maisha yake ya kawaida akicheza mpira na wenzake.
 Family inafurahi kuweza kutimiza maombi ya mizimu.Hellen anaishi kwake na mumewe na watoto kama kawaida japo amefunga ndoa na mtoto Sanele.
Dunia na vijimbambo!

22 Comments

 1. emma kahere

  March 25, 2013 at 12:06 pm

  Hii dunia ama inavituko.,

 2. RUKY

  March 25, 2013 at 3:01 pm

  JAMANI DINA HUYU MAMA KWELI HAJACHUKULIWA HATU MBONA NI USHENZI ULIYO PITILIZA JAMAN..EE MUNGU SIJUI TUNANDA WAPI TUNAOMBA UTUSAMEHE MAKOSA YATE..

  • dinamariesblog

   March 26, 2013 at 7:07 am

   Ruky soma maelezo vizuri so kwamba kaolewa kuwa mke bali alifanya hivyo kumsaidia huyo mtoto kutii maombi ya mzimu wa babu yake….huyo mama anaishi na mumewe na watoto kama kawa..

  • Anonymous

   April 3, 2013 at 5:59 pm

   Dina mbona kwenye harusi inaonyesha anambusu huyo mtoto mdomoni anamfundisha nini? Na je mtoto akiwa mkubwa na akadai huyo ni mke wake wa halali kuna wa kupinga au babu mzimu akisema nataka ukalale na mke wangu atakataa? Huu ni ulimbukeni kabisa yale yale ya yule bwana wa Songea aliyeamua kulala na mama yake eti mke wake!!

 3. Mama 2 (Mrs M)

  March 26, 2013 at 9:00 am

  Ndo mambo ya Mila hayo! Vinginevyo babu angekasirika halafu yangekuwa mambo mengine.

 4. Fareen Chaula

  March 26, 2013 at 9:15 am

  teh…ukistaajabu ya Tanzania?….utayaona ya Afrika kusini!!

  • Anonymous

   April 30, 2013 at 7:25 am

   na kweli maana lol! nimecheka na kuhuzunika

  • Anonymous

   May 14, 2013 at 7:52 am

   Nakweli tumeyaona!!!!!

 5. Anonymous

  March 26, 2013 at 10:50 am

  Mmmh! Mila nazo sa ingine zina tabu, mi hata sijui mila ya family yetu nini, Mungu tufungue!

 6. Anonymous

  March 26, 2013 at 12:35 pm

  Hayo ndio mambo ya kimila. Kuna mtu alifungishwa ndoa na maiti kabla ya kuzikwa.

 7. Anonymous

  March 26, 2013 at 1:45 pm

  Zidumu mila zetu wa Afrika.

 8. victor toke

  March 29, 2013 at 6:12 pm

  sasa huyo dogo anamwitaje huyo bibi?? Make mila zingine duh

 9. victor toke

  March 29, 2013 at 6:13 pm

  sasa huyo dogo anamwitaje huyo bibi?? Make mila zingine duh

 10. Jeremiah Fofo

  April 1, 2013 at 7:31 am

  dah kwahyo asingefanya hvyo huyo mtoto angepata madhara gan dina?

  • Anonymous

   April 3, 2013 at 10:25 am

   kwani dinna yuko south aaaaaaaaaaa

 11. Anonymous

  April 3, 2013 at 6:13 pm

  Ni noumer,cjui kama watafika

 12. MOJAONE

  April 6, 2013 at 1:10 pm

  UBAKAJI FIKA

 13. Anonymous

  April 18, 2013 at 3:22 pm

  HAKUNA CHA UBAKAJI JAMAN NI MILA KHAAAAA HAMUELEWI TUU

 14. Anonymous

  May 10, 2013 at 6:18 am

  Hiyo kali!

 15. Anonymous

  August 1, 2013 at 6:33 am

  mmmmh

 16. Charles E Mmbaga

  February 23, 2014 at 6:48 pm

  Mimi nionavyo huu usingekuwa wakati wa kuendekeza mila zaidi ya kumtii Mungu kwa alilosema katika Biblia Takatifu kitabu cha Mambo ya walawi 19:31,32.
  Msiwaendee wenuye pepo, wala wachawi, msiwatafute ili kutiwa unajisi na wao. mimi ndimi Bwana, Mungu wenu,mwondokeeni mtu mwenye mvi. heshimuni uso wa mtu mzee, nawe mche Mungu wako, mimi ndimi Bwana, MUNGU WENU.

 17. mysterious

  October 3, 2014 at 7:11 pm

  Mwenyezi Mungu awasamehe!

Leave a Reply