Uncategorized

MWANAMAKUKA AWARDS ILIFANA SANA.

By  | 
 Mshindi wa kwanza, Mwanamakuka Awards Bi Aziza Mbogolume akikabidhiwa cheki ya milioni sita.Akikabidhiwa na mgeni rasmi mke wa makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano ,Mama Asha Bilal.
 Hawa ndio UWF waandaaji wa Mwanamakuka awards.Mie huwa nawafanyia search kupitia leo tena na mwisho kuwakabidhi washindi ambao siku hiyo ndio walitunukiwa.
 Husna akitoa burudani ya mduara kabla kina mama hawajajaa kati kuduarisha.
Ommy Dimpoz nae alifunika balaaa.Kwanza alipiga mduara baadae mambo ya me n you.
 Kulikuwa na fashion show..Madame Ritha pale kati.
 Juainna Kusaga nae akijimwaya mwaya katika fashion show.
Picha kwa hisani ya Shamim Mwasha wa 8020fashions.Nitawaekea picha zaidi maaana camera yangu nimeimissplace ila ntaipata tu.

4 Comments

 1. MOJAONE

  March 11, 2013 at 7:10 am

  MTAJI TOSHA.

 2. Mama 2 (Mrs M)

  March 11, 2013 at 9:09 am

  Hongera kwa zoezi zima la Mwanamakuka. Nasubiri picha.

 3. Anonymous

  March 11, 2013 at 1:16 pm

  Da Dina hii si mara ya kwanza una misplace camera basi other coming events kubwa kama hizi uwe unaweka sehemu usiyoweza kusahau tupate jionea yaliyojiri twasubiri kwa hamu zote.

 4. Anonymous

  March 11, 2013 at 5:55 pm

  Natumaini Bi. Aziza ameshapiga hatua, hongera kwake pamoja na waandaaji wa shughuli nzima. big up!

Leave a Reply