Uncategorized

PICHA AMBAZO HUJAONA ZA TUZO YA MWANAMAKUKA!

By  | 
Unity of Women Friends katika picha ya pamoja!
Mwenyekiti wa UWF Bi Mariam Shamo.
Mc wa siku hiyo Babie Kabaye.
Mkurugenzi mtendaji wa clouds media Joseph Kusaga na Sheba Kusaga.
 Q Chief akitoa burudani
Ommy Dimpoz kazini.
Husna akiduarisha pale kati.
Mshindi wa kwanza Aziza Mbogolume akikabidhiwa mfano wa cheki ya pesa Tsh 6,000,000.Kukabidhi alikuwa mke wa makamu wa rais Aisha Bilal.
Mshindi wa pili Leila Mwambungu akipokea mfano wa cheki ya Tsh 3,000,000
Mshindi wa tatu alikuwa Theonestina Renatus alijipatia milioni 1,000,000.
PM wa clouds fm Sebastian Maganga akiwa ametupia vazi lilinakshiwa rangi za bendera ya Tanzania.Pembeni ni wa ubavu wake mama Nuru.
Balozi Kindamba wa prime time promotion  na wa ubavu wake.
Hizi ni sehemu ya picha katika zile za tuzo ya mwanamakuka 2013.

8 Comments

 1. Mzee wa Changamoto

  March 26, 2013 at 1:03 pm

  Good job D

 2. Anonymous

  March 28, 2013 at 9:44 am

  Hongera Dina Marios..mwanamke wa mwaka..u deserve it sis

 3. Anonymous

  March 28, 2013 at 1:24 pm

  Hongera sana Dina

 4. Ruky

  March 28, 2013 at 9:05 pm

  na kwambia hongera tena sana sana tuwekee bc na huku jamani……tufaudu vizuri haya ndiyo mambo hakuna kukata tamaa…

 5. Majoy

  March 29, 2013 at 12:21 am

  Hongera sana Dina

 6. emu-three

  April 2, 2013 at 8:26 am

  Tupo pamoja mpendwa, shukurani kwa kutupa hizo picha adimu!

 7. Anonymous

  April 3, 2013 at 10:18 am

  dinna weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 8. SEBO

  April 4, 2013 at 9:47 pm

  Keep it up D…hII ILITAKIWA iwe ya pili

Leave a Reply