Uncategorized

SIKU FLANI HIVI YA TAREHE 28 MWEZI FEB MWAKA HUU!

By  | 
 Ilikuwa bday ya mfanyakazi mwenzangu Judith Namanzi alikuwa akitimiza miaka 26.Judith yupo choice fm radio dada na clouds fm ikitangaza kwa lugha ya kiingereza!
Akikata keki huku akisaidiwa na Thandi anaefanya kipindi muda kama ule wa leo tena kinaitwa The fix.
 Fau,Judith na Gerald
 Baby Kabae na mumewe,Dj Peter Moe na Shadee
Friends
B12,Judith na mimi

Vanessa Mdee,Juditn ma Lady Haha

10 Comments

 1. Ruky

  March 15, 2013 at 2:38 pm

  It was nice eee!!!!Shadee anaoneka mchangamfu..

 2. Anonymous

  March 15, 2013 at 4:01 pm

  NAEZA SEMA KUWA UMELELEWA UKALELEKA DINA. UNAVOKUWA KIMYA YANI HUJIBU KOMMENT ZA KUKUKOSOA UNANIFURAISHA SN. KUNA WATU WANATAKAGA KUMCHOKA M2 AFU IKITOKEA UNAJIBU BASI UTANYAMBULIWA MPK HABARI ZILEEEEEEE NZITO. WATU WANAKUKOSOA KUHUSU MAVAZI SIJUI MWILI CJUI NINI. UNAWAJIBU VIZURI SN KIASI KWAMBA HAKUWAGI NA SHARI INAKUJENGEA HESHIMA ZAIDI NA HATA KUKUPA USINGIZI USIKU. JIBU INAPOBIDI AU KM VP KAA KIMYA HAYA MADONGO WANAYOTUPIANA WATU MITANDAONI KISA KUKOSOLEWA NAOMBA YASIKUKUTE. NAKUPENDA SN DINA SITAKI KUSIKIA HABARI YOYOTE MBAYA HUKUSU WEWE JAPO NAJUA UNA MAPUNGUFU YAKO AS A HUMAN BEING. MANENO WAKATI MWINGINE YANAUMA SN MPK UNATAMANI KUJBU ILA ASIKWAMBIE M2 KUKAA KIMYA NI HEKIMA NA MAUMIVU SN KWA ALIYEKUSEMA VIBAYA. IKIWEZEKANA KOMMENT YOYOTE IAKAYOLETA MJADALA WA SHARI USIIWEKE. DINA ENDELEA IVO IVO USIWE KM WENGINE INASHUSHA SN SN HESHIMA.NAKUPENDA

 3. Anonymous

  March 16, 2013 at 3:03 pm

  Dina mi love u much na kapua kako hako!!last week Nikakuona lile jengo la PSPF nikatamani nikusabahi ila mmh!

 4. emma kahere

  March 16, 2013 at 10:24 pm

  Mi penda wewe sana my dear,.shadee mzima??

 5. emma kahere

  March 16, 2013 at 10:25 pm

  Mi penda wewe sana my dear,.shadee mzima??

 6. Anonymous

  March 17, 2013 at 7:19 am

  watoto wa 1980's na 1990's mnazeeka haraka sana siku why

 7. Anonymous

  March 17, 2013 at 3:47 pm

  Picha zimetoka vizuri naona Tanzania kuna maeneo yanavutia
  http://machithela.blogspot.com/

 8. Anonymous

  March 18, 2013 at 7:37 am

  hao wafanyakazi wa kituo kingine ni wazuri hatari sema hawasikiki tu.

 9. Anonymous

  March 19, 2013 at 10:43 am

  DINNA UNAVUTA SIGARA.

 10. lila

  March 20, 2013 at 9:54 am

  boriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing……

Leave a Reply