Uncategorized

UJUMBE WANGU WA LEO!

By  | 
Kwa anaetaka kuudadavua kuwa wa kiswahili namkaribisha uwanjani.

18 Comments

 1. emma kahere

  March 6, 2013 at 10:46 am

  Utakuwa mfungwa wawa2 endapo utakuwa unayajal wanayoyafikiria.

 2. Ally Kivuyo

  March 6, 2013 at 11:17 am

  Kujali yafikiriwayo na watu wengine ni kukubali kuwa mtumwa wao

 3. Anonymous

  March 6, 2013 at 11:45 am

  NIMEUPOKEA UJUMBE WAKO WENYE MANENO MATAMU NA YA KWELI. MAISHA USIUSIKILIZE MOYO WA MWENZIO UNAVYOPENDA SIKILIZA WAKO UTAFIKA

 4. Anonymous

  March 6, 2013 at 11:52 am

  Hilo nalo neno Dinna

 5. Anonymous

  March 6, 2013 at 11:54 am

  Ukijali kuhusu watu wengine wanavyofikiri daima utakuwa mfungwa wao.

 6. Anonymous

  March 6, 2013 at 12:14 pm

  ukiyajali ya watu hufanyi chochote!

  • kay

   March 6, 2013 at 1:08 pm

   "JALI WENGINE WANAVYOFIKIRI NA KILA WAKATI UTAKUWA MTUMWA WAO" that means, ukiwa unafuata, kusikiliza au kujali wengine wanafanya au kusema nini, juu yako au juu ya mambo mengine, hutakuwa huru kuonyesha uwezo wako either wa kufikiri au kufanya kitu, kila wakati utakuwa unasikiliza wao tu, so try to thing and be you , believe in youself na utakuwa huru kufanya mambo yako kwa uhuru bila woga

 7. Mama 2 (Mrs M)

  March 6, 2013 at 12:59 pm

  Fanya unayoyaona yanakufaa mwenyewe usijali kuhusu watu wengine.

 8. grace munuo

  March 6, 2013 at 1:20 pm

  mmmmh mi siipati maana jamani

 9. Rose Jerome

  March 6, 2013 at 6:10 pm

  ukijali sana yasemayo na watu , utakua mtumwa wao

 10. Anonymous

  March 6, 2013 at 6:56 pm

  kama utaruhusu kuathiriwa na mitazamo ya watu juu yako, hakika utajinyima uhuru wa mawazo yako juu yako.

 11. Anonymous

  March 6, 2013 at 9:30 pm

  Sasa cjui nilugha maana mimwenyewe hola

 12. ireen steven

  March 7, 2013 at 11:43 am

  Kujal watu wanafikiria nn juu yako.utakuwa mtumwa wao bcoz hutaweza kuendelea mbele utatumia mda mwing kujal wasemayo juu yako kitu ambacho kitakupa hofu ya kufanya jambo lingne lolote eti kwasababu watu watanifikiriaje huo ndio ufungwa wako kwao..so u have to focus on what u a dong dont care abt what people will say o thnk abt u…let them say it you just focus..

 13. Anonymous

  March 7, 2013 at 5:52 pm

  katika maisha fanya chochote kile unachoona ni sahihi ila ukikaa na kufikiria watu watakuonaje au kukuchukuliaje utakuwa hapo hapo tu kwa kuogopa au kuhofia binadamu wenzio,do ur things no matter what they think of u.

 14. Anonymous

  March 8, 2013 at 8:32 am

  Kwakweli dina mamaangu km tutaishi kwa style hiyo hatutafika popote,
  ebu tujitahidi tuishi tutakavyo.

 15. Anonymous

  March 8, 2013 at 9:15 am

  JALI WATU WAKUFIKIAVYO NA UTAKUWA MTUMWA KWAO SIKU ZOTE.

 16. Anonymous

  March 8, 2013 at 9:47 am

  DINA BWANA WEWE NI KIBOKO MAANA UMENIACHA HOI UNA AKILI ZA KUFIKIRI HARAKAHARAKA NIMEKUPENDA NA UMETISHA!

 17. Anonymous

  March 13, 2013 at 11:03 am

  kujali maneno ya watu wakufikiriavyo siku zote utakuwa mtumwa kwao

Leave a Reply