Uncategorized

UMESHAWAHI KUMUONA SAMAKI TAA??HUYU HAPA.

By  | 
Mie ndilo nilimuona juzi akiwa ndio ametoka kuvuliwa kapitishwa hapa ofisini kwetu.

5 Comments

 1. Chris Racka

  March 6, 2013 at 9:44 am

  Wa musoma…..Siye wetu sato na sangara hao wa maji ya chumvi tuwaonee wapi dada'ngu dina!

 2. Mama 2 (Mrs M)

  March 6, 2013 at 1:01 pm

  Mmhh mi mpenzi sana wa samaki, lakini huyo!! mm Dina hujanilisha bado, labda kama akipikwa muonekano wake unakuwa tofauti.

 3. Anonymous

  March 6, 2013 at 5:23 pm

  Ninavyoona mimi hawa viumbe wa majini ladha zao si tofauti sana. Binafsi navutiwa zaidi na chakula endapo kitafanana na vile nilivyozoea kuona kwa misingi hiyo basi huyu samaki hanifai kumla kwakweli. Christine

 4. Anonymous

  March 6, 2013 at 9:22 pm

  Kuleni tu mwaya nyiemliozoea mm hatacwezi ntatapika kama ngozi ya kuku inanishinda naimani hatahuyo samaki atanishinda tuu.

 5. Anonymous

  March 8, 2013 at 6:04 pm

  Mi wangu sato tu. Tena ukimuweka nazi, ngogwe, bamia na pilipili mbuzi acompanied with wali nazi. Aaha raha tupu!

Leave a Reply