Uncategorized

WANASEMA PICHA HUZUNGUMZA ZAIDI YA MANENO 1000

By  | 
Wewe kwa kutazama picha hii unaweza elezea hayo maneno 1000?

14 Comments

 1. emma kahere

  March 13, 2013 at 6:35 am

  Ugumu wa maisha unasababisha hawa watoto watembee umbali mrefu kutafuta maji.serikali inabid ijitahidi kujenga visima vijijin,kwan watoto kama hawa badala ya kwenda shule wanabaki kusaka maji.inauma sana.

  • Ruky

   March 13, 2013 at 11:08 am

   emma umesema yote..kweli inasikitisha sana…na serekali kujenga kisima ni story…

 2. Ally Kivuyo

  March 13, 2013 at 6:59 am

  Watanzania rasilimali zetu hazitusaidia wanafaidi watu wachache ndio maana mpaka leo huduma za afya zimeshindwa kuboreka afya,elimu.maji nk

 3. MOJAONE

  March 13, 2013 at 9:11 am

  Maisha kwanza kitabu baadaye.

  • Anonymous

   March 14, 2013 at 6:07 am

   Wale wale Nkt!

 4. Anonymous

  March 13, 2013 at 10:27 am

  Ukosefu wa huduma muhimu kama vile maji, elimu ndiyo inapeleke hawa watoto kupata shida hii inayoonekana hapa, inaonyesha wameshindwa hata kusoma kwa ajili ya kutafuta kwanza huduma hii adimu inasikitisha sana!

 5. daniella danniel

  March 13, 2013 at 11:30 am

  Hakuna Maji vijijini ni kukame mashamba, visima vimekauka , watoto wanatafuta maji umbali mrefu vijiji vya virani huko, hawaendi shule , hawasomi tena kwa ajili ya kuwasaidia wazazi wao, maisha ni magumu , serikali yetu wala haina mpango , hawajishughulishi wamekalia ufisadi tu Mjini Darisalama , Wabunge hawatembelei Majimbo yao kushuhudia ukame huu wako busy Mjini na Vitambi Vyao , Wananchi wanateseka sana , Wanawaona wakati wa kupiga Kura tu, Yaani hawana hata Ubinaadamu , Wamekazana Kufisha Pesa Nje ya Nchi kwa ajili yao na Vizazi vyao ! YAANI INAUMA

 6. Anonymous

  March 13, 2013 at 12:01 pm

  Maisha bora kwa kila mtanzania,maisha ya mama ajae,elimu bora kwa watanzania wachache nasi tutaendelea kuwa mahouse girl wa kuwalindia watt wao wanapoenda makazin,inauma sana cos miongon mwao ni watt wa wakulima na wafugaji,…why we are so poor?we are poor bcos we were poor….this is life cycle.

 7. Anonymous

  March 13, 2013 at 1:01 pm

  kwakweli inauzunisha sana ukiona watoto wadogo mda wa kwenda shule wanaangaika na maji, na wakifika shule hoi

 8. Anonymous

  March 13, 2013 at 1:53 pm

  MATESO YA MWANAMKE AFRIKA
  WANAWAKE HAWANA THAMANI ILA THAMANI YAO NI KUTUMIKISWA
  MWENYE PESA NDO ANATAKIWA KUISH
  SHIDA
  UMASIKINI
  UTAJIRI KWA WENYE HAKI
  MATESO KWA KIZAZI KISICHO NA HATIA
  UPOFU WA VIONGOZI WETU
  UPOFU WA WALOSHIKA MADARAKA YA NCHI YETU
  HAKUNA UMUHIMU WA KUPIGA KURA

  MWISHO
  TULIONACHOTULE NA HAOWATOTO
  TUSICHANGIE MAHARUSI ,KITCHEN ,SINGO ,MWALI,TUCHANGIE KUWAOKOA HAO WATOTO TU
  W

 9. Anonymous

  March 13, 2013 at 4:51 pm

  Yaani ni zaidi ya hayo 1,000.maji ambayo ni muhimu sana yanafuatwa kwa umbali mrefu.ayo ayo maji uwezekano mkubwa siyo safi na salama kwa matumiz ya binadamu.watoto uenda wamekosa kwenda shule ili kutafuta ayo maji.muda unaweza kuwa ni mowing iliotumika kuyapata ayo maji ambayo pia ayajatosha kwani kuna watoto apo ndoo zao hazina maji.hatar ya kuweza kufanyiwa vitendo vya kikatili kama kibakwa ama kuumizwa kwa namna yoyote nyingine n.k

 10. kabula

  March 14, 2013 at 6:44 am

  jamii hiyo inishi kwenye hali ya umaskini, jamii yenye uhaba wa chakula,maji shida na yanapatikana umbali mrefu kutoka makazi ya wananchi,watoto hao hawapati elimu iliyo bora,serikali haijali wananchi wake kwa kuwapatia visima vya maji safi,wanawake na watoto wa kike ndio wenye majukumu ya kuangalia na kutunza familia zao,kuna ukame wa muda mrefu kwenye jamii hiyo na ni jamii ya wafugaji na kilimo hakina nafasi kubwa sana,ni jamii iliyokata tamaa ya maisha,hawapati huduma muhimu kama maji,umeme barabara nzuri,hospitali,hakuna elimu ya afya ya uzazi wa mpango,hawapati hata habari kuhusu dunia inaendaje namaanisha vyombo vya habari haviwafikii huko walipo na mengine mengiii ntajaza nafasi dada Dina………………

 11. Anonymous

  March 14, 2013 at 6:50 am

  Hiyo picha daa dina mbona ni wako ulaya hao kwa mazingira ya kwetu huku meatu ni mara kumi ya hapo hao mbona mabo safi nitakutumia picha uone watu walivyochoka huku

 12. Anonymous

  March 14, 2013 at 7:55 am

  hayo ndo maisha ya watanzania wengi waishio vijijini, na katika uhalisia hao watoto wanaonekana wametembea umbali mrefu..yani kwa kuwatazama ni watoto wa familia tofauti na mbaya zaidi ni kwamba kuna baadhi yao hawakupata maji waliyotumwa na wazazi, hivyo hofu kubwa imetawala mioyoni mwao. Hata raha ya maisha kwao haipo tena, lakini chaajabu ni kuwa watapata muda upi wa kusoma zaidi ya kuishia kufanya shughuli ya kutafuta maji kutwa nzima!!!! Viongozi wetu hatuna hakika kama wanaliona hili swala na kulifanyia kazi ipasavyo.

Leave a Reply