Uncategorized

WANAWAKE WALIVYOJIACHIA KATIKA WOMEN CELEBRATION JANA.

By  | 
Mgeni rasmi alikuwa mama Tunu Pinda mke wa waziri mkuu.Ambapo alitoa ujumbe wake kwa wanawake kuingia katika maswala ya kumiliki ardhi na kulima mazao ili kujiongezea kipato.
Tukio hilo liliandaliwa na mmiliki wa 8020fashions blog Shamim Mwasha.
 Meza ya OXFAM nao walikuwa wadhamini wa tukio hilo.
 Cheki wanawake walivyopendeza na mavazi ya kiafrika
MC wa shughuli alikuwa  Mishy Bomba mama wa mirindimo ya pwani kupitia magic fm.Alifanya kazi nzuri sana na alipendeza pia.
 Mbunifu wa mitindo Khadija Mwanamboka kulia na yeye ni muandaaji wa shughuli hiyo.
 Sabaha Salum Muchacho akitoa burudani jukwaani
 Kinadada nao wakijiachia
Japo picha niliipiga kwa mbali,pichani ni bi Mwanahawa Ally akiimba mwanamke hulka.
Picha zipo nyingi sana nitaendelea kuziweka.

4 Comments

 1. Anonymous

  March 4, 2013 at 12:34 pm

  duuh bora ya leo tulizoea kuona ( jumapili yangu ilivyokuwa) n.k

 2. Anonymous

  March 4, 2013 at 12:42 pm

  Dina wewe ulivaa nini hatujakuona hapa….

 3. Anonymous

  March 4, 2013 at 2:43 pm

  dina 2wekee picha yko

 4. Anonymous

  March 6, 2013 at 6:38 am

  naomba namba ya simu ya huyo mama mchoraji wa magomeni ambaye ni mshiriki namba 5 au unielekeze kwake nataka nimuunganishie kazi na wateja wa picha

Leave a Reply