Uncategorized

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA KUFANYIKA MWEZI UJAO.

By  | 
 BI HINDU

                                                                 BI CHAU

Hawa ni baadhi ya wasemaji ambao tumewahi kuwatumia katika women in balance kitchen party gala mwaka jana.
Mwaka huu tunataka kuitroduce wanawake/watu wapya wanawake kwa wanaume.Tunataka iwe ni platfom ya wale wenye busara zao kuja kushare nasi.Kumbuka kitchen party gala ni maalum kwa ajili ya kupeana mbinu mbali mbali za kukabiliana na changamoto za kimaisha upande wa mahusiano,ndoa na sisi wenyewe binafsi.Walimu hao wanaweza kuwa wa nyanja tofauti tofauti hata kwa dini zote.
Kwa hiyo nakukaribisha kuwa na wewe ni sehemu ya waandaji wetu kwa kutupa maoni yako.Katika pita pita zako umeona walimu ambao unaona watatufaa ni kina nani?yuko wapi?popote Tanzania tufamfata.
Tuma mapendekezo yako kuja namba hii ya simu 0719 093832.
Mwaka jana nafurahi nilimpata mama anaitwa Irene Mbowe wa Arusha she was good na nina mpango wa kumualika pia Dar es salaam.
Hata kwa walimu waliopita pendekeza nani arudi tena safari hii.
 Safari hii kitchen party gala ya kwanza kwa mwaka huu kufanyika jumamosi ya tarehe 27 April 2013.
MUHIMU
HII NI RATIBA YA WOMEN IN BALANCE 2013
*27 April 2013 women in balance kparty gala
 *18 May 2013 women in balance for singles 
*Baada ya ramadhani women in balance couples reatreat(wapenzi)  tutaenda nje ya mji.

DRESS CODE
Safari hii dress code itakuwa balaaaaa i cant wait kwa kweli ngoja nitakwambia itakuwaje kwani ni rahisi mno.

10 Comments

 1. Anonymous

  March 18, 2013 at 11:29 am

  Hi,Mngetuma na Colors za Gala ili wadau waanza kjiandaa accordingly..Asante

 2. Mama 2 (Mrs M)

  March 18, 2013 at 2:32 pm

  Dinna! Tujulishe mapema gharama pamoja na colour tuweze kujiandaa mapema, si unajua mambo ya fweza!!

 3. Dadaz4life

  March 18, 2013 at 3:12 pm

  Nina wazo Dina, kwa wale ambao tuko mbali na Dar na tunapenda kusikia yanayojili kwenye kpty gala, nafikiri mngetengeneza DVD na kuziuza ili tuwe sambamba.

 4. Anonymous

  March 18, 2013 at 8:45 pm

  BINAFSI I HATE THIS SHIT. WHY DO WE SPEND MOST OF OUR TYM TRYING TO MAKE MEN HAPPY????WHY WHY WHY?????? AND STILL HAISAIDII NA KWANINI WAO HAWAKAI HATA SIKU MOJA KUPANGA MIKAKATI YAKUTAKA KUTUFURAHISHA,AU KUBORESHA MAHUSIANO????? OOOH MWANAUME NI KM MTOTO, OOOH MUHESHIMU ,MUHUDUMIE MTOTO WA KIKE JITUME. JAMANI KILA SIKU SISI TU????? BI CHAU ALIWAHI KUSEMA MWANAUME SIO CHOMBO CHA KUKUNUA AU KUKIKUTA BARABARANI IVO UNAPOMPATA JITUME MSHIKILIE. JAMANI MIE NDO NAOKOTWA??? AU KWASABABU NATOLEWA PESA??? HONESTLY KITENDO CHA KUWALAMBA WANAUME MIGUU SIKIWEZI,KIJIFANYA PUNDA ILI ASITOKE NJE PIA SIWEZI. ETI MWANAUME HATAKIWI KUAMBIWA KWA UKALI ILA MIE NDO NIAMBIWE KWA UKALI IKIBIDI NA KIBAO JUU WAT THE F***** IS THAT????ITS LYK JUKUMU LA MKE NI KUMRIDHISHA MUME YANI KILA SIKU NDO TUNAVOFUNDISHANA JAMANI UPUUZI GANI HUU??? ETI TUNAFUNDISHANA MPK MASTAIL YA KITANDANI MBN WAO HAWAHANGAIKI IVI???? KWANINI KILA SIKU TUNAUMIZA VICHWA JUU YAO TU??? HATA KM HUNA MOOD YA KUFANYA ETI MPE TUU JAMANI MATESO GANI HAYA TUNAFUNDISHANA.
  MUWACHE TU LISHAKUWA GUMU TUFUNDUSHANE HOW M2 ANAWEZA KUJIKWAMUA KWENYE NDOA ILIYOFAIL YANI MUMPE TIPS ZA KUSEPA NA SIO KUTESEKA ETI JAMII UMUONE MVUMILIVU.TUFUNDISHANE KUFANYA DEVORCE KUWA RAISI PALE NDOA INAPOSHINDIKANA MANA SISI NDIO TUNAOTESEKA KTK HILI JAPO HATULALI TRYING TO FIGURE OUT WAT TO DO. HUWEZI KUISHI KWA KUMFURAISHA TUUUUUUUUUU MWENZIO YANI HUKO KUFURAHISHANA HAKUNA UWIANO WANAWAKE KILA SIKU NDO TUJISHUSHE. ETI JISHUSHE KWA MUMEO YANI HATA KM ANA MAKOSA ANAKATAA KWA KUNIKARIPIA MI NIJISHUSHE.
  POINT YANGU NI KWAMBA TUACHE HAYA MASHUGULI. TUFUNZANE KUPATA MAENDELEO BILA WANAUME YANI MWANAMKE AFANYE NINI KUWA NA MAISHA BORA. MWANAMKE AFANYE NINI MWANAUME ASIMNYANYASE?? TUKIFUNDISHWA MAMBO YANANIHUU YALE NDO TUNAONA DAH LEO NIMEPATA KI2 KIPYA HAYA NENDA KAFANYE BASI UONE KM UTAMTULIZA.KWANINI WAUME ZETU WASIRUDI HOME NA MASTAIL MOTOMOTO KM
  SISI???? THEY DNT BOTHER AT ALL DO YOU KNOW WHY????

 5. Anonymous

  March 19, 2013 at 8:05 am

  Safari hii itafanyika ukumbi gani?

 6. Anonymous

  March 19, 2013 at 8:34 am

  Asentiiiiiiiiiiiii, Mtoko wetu huoooooooo umewadia, haya sasa Mujini kumekucha, Irene Mbowe asikose kwakweli Dinna she's gud sana yaani anajua Ukungwi na mambo yake akikufunda hutaacha kufurahia mafunzo yakeeee……….Kila la heri, rangi tuwekee mapema sana tujiandaeeeee

 7. Anonymous

  March 19, 2013 at 6:00 pm

  Na Mwanza lini?

 8. emma kahere

  March 19, 2013 at 6:51 pm

  Dina mi naona swala la colour za nguo,u2julishe mapema ili 2pate kujua mapema tunavaaje maana mda unakaribia.cku yetu hiyo.

 9. Anonymous

  March 20, 2013 at 12:23 pm

  Cant wait loh! Arusha lini????

 10. Anonymous

  April 12, 2013 at 12:12 pm

  naomba getrude aalikwe tena nilipenda mafunzo yake lol i cant wait to see her again

Leave a Reply