Uncategorized

AMARULA KINYWAJI RASMI CHA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PART GALA!

By  | 
Haya wanawake Tarehe 27 April jumamosi ya wiki ijayo tu ndio ile kitchen party gala.
Kinywaji rasmi ndio hicho Amarula cream.Watu kumi watakaowahi kufika wa mwanzo kila mmoja ataondoka na chupa ya Amarula.Watu 100 wa mwanzo watapata kila mmoja glass ya Amarula cream.Karibuni sana…ticket zitatoka sooon.

SHUKRANI KWA WADHAMINI WETU

Kampuni ambayo imerahisisha manunuzi ya umeme wa luku kwetu sasa hivi umeme unanunua mtaani kwako tu kwa wakala wa max malipo.Malipo ya dawasco kwa bill za maji,kulipia ving’amuzi n.k
Coca cola kwa vinywaji laini na baridi wote mtakaofika kinywaji cha kwanza kabisa kitapatikana kutoka kwao coca cola.
 Kama unavyojua mwanamke unahitaji sidiria nzuri tena kwa size kabisa sio mama nibebe.Sidiria na chupi za uhakika,nguo za kulalia zile za kuvaaa ukiwa na mumeo au mpenzi wako za ukweee kutoka Cassandra.Siku hiyo wenye bahati watapata shopping voucher ya kujipatia nguo za ndani na kivazi cha kulalia.
Clouds fm the people station kwa matangazo na updates za siku hiyo.Bila kuwasahau Brilliant Printing watakaoprint kila kinachotakiwa kuprint cha siku hii.
Ticket zikitoka hakikisha unanunua ticket yako vituoni hatutauza mlangoni na mwisho ni watu 1000 tu.
Kumbuka ili msichana/mwanamke uweze kumudu lolote katika maisha,iwe mahusiano,ndoa,familia au lolote inaaanza na wewe…..jiamini.Huu ndio ujumbe wetu katika kitchen party gala ya kwanza kwa mwaka huu 2013.

Leave a Reply