Uncategorized

CLOUDS TV KUONYESHA RED CARPET YA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA!

By  | 
Zamaradi Mketema wa take one ya clouds tv kuhost red capet ya kitchen party gala tarehe 27 jumamosi hii.Na red carpet hiyo kuruka clouds tv.
dresss code yetu ipo inspired na bendera ya nchi yetu TANZANIA.Clouds fm na clouds tv tuna campaigna ya kuhimiza watanzania kupenda vya nyumbani hasa kuweza kuvaa rangi za bendera ya nchi yetu.Tutawawaangalia kina dada/mama walioweza kushona au kumatch vizuri rangi hizo.
Kubwa ni tunakutana kuzungumza yetu kama wanawake na kubwa safari hii ni mwanamke jiamini.Unajiamini vipi?wapi?na kuhusu nini?
Tukutane jumamosi hii kwa kiingilio cha tsh 40,000 plus chakula cha mchana.
Golden jubilee karibu na ppf tower mjini hiyo ni floor ya tano.

2 Comments

  1. emu-three

    April 24, 2013 at 5:42 am

    Twawatakia kila-la heri

  2. Anonymous

    April 27, 2013 at 7:15 pm

    Mbona hatuioni hy red carpet clouds tv?

Leave a Reply