Uncategorized

DRESS CODE:WOMAN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA

By  | 

PHOTO BY:GAVIN
MAKE UP:REHEMA 
MODEL:ELLYGIVER
MODEL DRESSED BY :
Secky land of fashion. 
DUKA LIPO mikochen opposite shopperz plaza.
 
KWA  info.. 0754437722.

Kajipatie kivazi…vipo vya bleu,kijani,njano na nyeusi kama kawa ni wewe kucheza na rangi tu au ukashona.Tarehe 27 jumamosi tukakutana pale Golden Jubelee tower floor ya tano.

2 Comments

  1. Anonymous

    April 16, 2013 at 4:22 am

    Dinah,kwa hiyo dress code ni less?nashindwa kusikiLiza kipindi kutokana na nature ya kazi yangu…nijibu hapa ili nielewe

  2. Habiba

    April 16, 2013 at 10:19 am

    mdau hapo juu,dress code sio less unaweza vaa chochote ila rangi za bendera ya taifa,si unamuona huyo mrembo hapo kavaa black lakini shingoni kuna green halafu katupia yellow,amenogaje sasa

Leave a Reply