Uncategorized

DRESS CODE:WOMAN IN BALANCE KPARTY GALA 27 APRIL

By  | 
Tukumbuke dress code ni rangi za bendera ya Tanzania.Kijani,blue,nyeusi na kijani shona au mechisha kijanja.
PHOTO BY:GAVIN
MAKE UP:REHEMA 
MODEL:ELLYGIVER wa www.http://ellygyverlatrend.blogspot.com/
MODEL DRESSED BY :
Secky land of fashion. 
DUKA LIPO mikochen opposite shopperz plaza.
 
KWA  info.. 0754437722.

Kajipatie kivazi…vipo vya bleu,kijani,njano na nyeusi kama kawa ni wewe kucheza na rangi tu au ukashona.Tarehe 27 jumamosi tukakutana pale Golden Jubelee tower floor ya tano.

3 Comments

 1. Anonymous

  April 18, 2013 at 8:02 am

  dina kuna ile nguo kavaa monalisa (Ivonne cherry) kwenye wall ya profile kwenye blog yake unaweza tuwekea kwa uzuri tuone katika hizi post zake za dress code

 2. Anonymous

  April 18, 2013 at 1:12 pm

  Off topic Dina kuna binti mmoja yuko American Idol sasa hivi anaitwa Candice glover yaani mnafanana utadhani mdogo wako au wewe umo American Idol hebu mcheki ujione

  • dinamariesblog

   April 25, 2013 at 12:15 pm

   ngoja nitamuangalia maaan mwaka huu sijaangalia

Leave a Reply