Uncategorized

DRESS CODE:WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA

By  | 
KITCHEN PARTY GALA NI TAREHE 27 APRIL 2013 ni jumamosi ya wiki ijayo
DRESS CODE ni rangi za bendera ya Tanzania ambazo wanawake mnaweza kushona upendavyo lakini picha hizi unazoziona tulipiga ili kutoa idea ya namna unavyoweza kuvaa kwa rangi hizo kama hukubahatika kushona.
PHOTO BY:GAVIN
MAKE UP:REHEMA 
MODEL :IMACULATE
MODEL DRESSED BY: BEUTY POINT wapigie kwa namba zifuatazo 0713276486 wana vivazi rangi zote kijani,njano,,blue na nyeusi.
 Kumbuka Shughuli yetu itafanyika katika ukumbi ulio katika jengo la golden jubilee near ppf tower 5th floor.
Kuanzia saa tano asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.
Wiki ijayo nitatoa rasmi safu ya wazungumzaji.  

4 Comments

 1. Mama 2 (Mrs M)

  April 22, 2013 at 4:45 am

  Ok Dina! Saafi sana ma dear!!!! We ni mbunifu sana, Aminia!!!

 2. Anonymous

  April 23, 2013 at 8:40 am

  DAMN

 3. Anonymous

  April 24, 2013 at 5:29 pm

  za masifa unapost, mkiambiwa ukweli unabania, but msg sent & delivered.

Leave a Reply to Anonymous Cancel reply