Uncategorized

KAMA UNAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI NA UNATAFUTA MCHUMBA,SOMA HII!

By  | 
Mambo Dina,
Mimi  ni mwanamke wa miaka 32 kwa bahati mbaya naishi na maambukizi ya VVU,namshukuru Mungu nimejikubali hali yangu na naendelea vizuri na shughuli zangu.
Tatizo ambalo ninalo ni kuwa natafuta mchumba ambaye pia ni mwathirika ili tuishi wote kwa matumaini na tulinde wengine pia awe na miak kuanzia 30 hadi 40,mkristo na pia awe na shughuli inayomwingizia
kipato.email annabenson50@gmail.com.
Hata ushauri pia karibu,natanguliza shukran.
Vigezo na masharti vizingatiwe. 
 

62 Comments

 1. MUATHIRIKA NO 2

  April 15, 2013 at 2:49 pm

  JAMANI JAMANI TUPO WENGI KILA SIKU NILIKUWA NAPANGA KUKUANDIKIA HIKI ALICHO KUANDIKA MWENZANGU HATA MIE NATAFUTA MUATHIRIKA MWENZANGU KWANI NIMEATHIRIKA NA NIMEJIKUBALI NA NINATUMIA DAWA NA HUWEZI KUNIJUA LABDA NIKWAMBIE NA HUWA NAPATA SANA USUMBUFU KUTOKA KWA WANAUME NAWAMBIAGA NIMEATHIRIKA WANADHANI NI NJIA YA KUWAKATAA NAOMBENI NA MIMI NATAFUTA MCHUMBA AWE MTANZANIA MWENZANGU UMRI WAKE UWE KUANZIA 38, MREFU BROWN CLOUR,DINI MUISLAAM COUSE C UCHUMBA TU NATAKA NDOA BAADA YAKUJUANA VIZURI NA MAKUBALIANO.. MIE NI 35 NA AWE NA UWEZO WAKUSAFIRI SEHEMU YOYOTE KWANI MIMI NAISHI UK NA HUWA NAKUJAGA TANZANIA KILA NIPATAPO NAFASI ILA TUTAONGEA MENGI ATAKAYE TAKA MAHUSIANO YALIYO SEIROUS NA AWE MUELEWE NA MWENYE UPENDO WA KWELI COS HUU UGONJWA HAUTAKI TENA MASTRESS ENGINE MJIBU NTARUDI KUTUMA MY MAIL MAANA HII NINAYOITUMIA SIPENDI IINGILIANNE NA HII ISHU…THANKX NAJUA SINA NIA MBAYA NA MUNGU ATANIJAALIA NIPATE MUME BORA…

  • Anonymous

   April 26, 2013 at 4:04 pm

   helo wangu? Naomba nitafute kupitia namba yangu +255715927003. Nataka mahusiano ya kweli. Plz ucache

  • Anonymous

   April 26, 2013 at 4:05 pm

   helo wangu? Naomba nitafute kupitia namba yangu +255715927003. Nataka mahusiano ya kweli. Plz ucache

 2. MUATHIRIKA NO 2

  April 15, 2013 at 3:15 pm

  my mail ni sophia.saidi@ymail.com kwa mawasiliano ya uchumba km nilivyoandika hapo juu…

 3. Anonymous

  April 16, 2013 at 2:08 pm

  kweli tupo wengi wengine tupo ndani ya ndoa mwanaume negative mwanamke positive manyanyaso sana tunaishi kwa upweke nje unasumbuliwa mtu anakuona mzuri kumbe unamatatizo yako . Mungu ni mwema na fadhaili zake ni za milele.

 4. Ruky

  April 16, 2013 at 3:27 pm

  daaa jamni poleni na mungu atawasaidia mtaajaliwa…jamani dina hebu watangaziye hawa ndugu zetu na kwenye kipindi chako daa mpka nimesisimka…all the best

 5. Anonymous

  April 16, 2013 at 10:05 pm

  jamani hata mimi niko ktk hali kama ya wenzangu walionitangulia mimi pia ni mwanamke kidogo nina umri 49 lakini pia ukiniona uwezi jua ninao naminimejikubali japo sijaanza dawa natafuta mwenzangu mwenye hali kama yangu yufarijiane yaani siku nyingi nilikuwa nafikiria niaanza je kumtafuta mwenzangu mwenye hali kama yangu na mimi leo nimepata njia ngoja nione wenzangu walionitangulia watashauriwaje au watajibiwaje na mimi nijipange kutoa contact zangu pia mimi niko nje ya nchi

 6. Anonymous

  April 17, 2013 at 11:21 am

  Nimefurahi kuona watu wanajitokeza kutafuta mwenza mwenzake mwenye hali yake na mimi nimeona nami nitoe duku duku langu nami pia ni dada mwathirika niko na afya njema nafanya kazi na nimeajaliwa mtoto moja naishi Dar Es Salaam. Mwanaume ninayempendelea awe mrefu,mchangamfu,mkarimu na mwaminifu. Mwenye kazi au amejiajiri ambaye hajakata tamaa na amejikubali kuhusu afya yake na anafuatilia check up mara kwa mara. Email yangu ni tayanazal@hotmail.com tafadhali email za masihara hazitajibiwa. Asante kwa kupitia Post hii.

 7. Anonymous

  April 19, 2013 at 2:01 pm

  daa dina mimi ninge omba hili swala lifanyie proposal kabisa watu walipigie compai n litapunguza sana mambukizi ya ukimwi kwani watalindana na kutosambaza njee kwa tamma za kimwili nathani muweke kipengele cha kitu kama hyiki katika redio na mtashanga kitavyo pata watu na umaharufu

 8. Anonymous

  April 24, 2013 at 11:21 am

  Mungu wangu kwa kweli nimesisimuka sana na habari za hawa wenzetu, kwa kweli Mungu asaidie wapate walio siriaz na wasipate walio na masihara, kwa hiyo wajitokeze walio na uhitaji na sio tofauti.

 9. Anonymous

  April 25, 2013 at 1:30 pm

  Daa dina umefanya kitu chamaana sana yani kwakufanya hivyo maambukizi yatapungua sana big up dina

 10. Anonymous

  April 25, 2013 at 1:31 pm

  hello dina big up sana endelea hivyohivyo namungu atakubariki

 11. Anonymous

  April 26, 2013 at 2:03 am

  wewe Anonymous wa april 24,2013 at 4;21 am usisimike mwili hayo ni mambo ya kawaida inatakiwa kama wewe ni mzima uwaunge mkono maana bora hawa wanaojitangaza kutaka wenzao kuliko wale wanaojiona wazima na huku wanao wanaqzambaza makusudi asife peke yake hawanaojitangaza wamefanya vizuri sana uwamuzi wenye busara unajua huu ugonjwa hakuna mtu ambaye haujamgusa kwa njia moja ya nyingine kama wewe umebahatika huna labda ndugu yako jirani n.k hii sio wa mkucheka mtu hakuna mtu anapenda kupata huu ugonjwa na kitu kinafanya watu wafe mapema ni unyanyapaa sio kitu kingene

 12. Anonymous

  May 4, 2013 at 5:45 am

  Mambo Dina. Naomba na mimi nisaidie kupost hii comment yangu maana nami nimuathirika na ninajaribu sana kupata mwenzangu mwenye status kama yangu.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35,nimejigundua nimeathirika mwaka 2009 na nimekubali hali yangu.Naishi dar-es-salaam,ni muislam na nafanyakazi kazi taasisi ya fedha mojawapo hapa hapa dar-es-salaam. Sijaanza kutumia dawa na wala hauwezi kunitambua mpaka nikueleze mwenyewe. Nitafurahi sana endapo nitafanikiwa kumpata mtu ambae yupo serious na maisha,mcha mungu na mwenye kufanya kazi au mwenye shughuli ya kueleweka.Email address yangu ni salehalliy@gmail.com
  Nitashukuru sana kwa wale ambao wanajiona wapo seious ndio tuwasiliane.Natanguliza shukurani zangu.

 13. Anonymous

  May 7, 2013 at 1:28 pm

  WAAAO…..KIUKWELI NDUGU ZANGU MMENIGUSA SANA SANA,LAITI WATU WANGEKUWA WAELEWA KAMA NINYI HAKUNA AMBAYE ANGEMNYANYAPAA MENZIWE NA KASI YA MAAMBUKIZI ISINGEONGEZEKA,MUNGU NA AWAJALIE HAJA YA MIOYO YENU NA NIA ZNU NI NJEMA NAWAOMB MUNGU AWAPE WENZA WAELEWA NA MTAKAOPENDANA.MMBARIKIWE SANA

 14. Anonymous

  May 7, 2013 at 8:25 pm

  mimi pia muathirika ila niko America nilingundu hilo jambo mwaka 209 nimeanza ila ni mzima wa afya mpaka nikwamibie na mimi pia natafuta mume mimi ni muislam ila nina watoto wawili pia nina miaka 44

 15. Anonymous

  June 21, 2013 at 10:08 pm

  NAMI pia nina hali hiyo,nipo Dar.Nilipojigundua nilikuwa na mtu bahati nzuri mwenzangu ye mzima,alinipromise tutakuwa pamoja lkn kadili siku zilivyoenda nikagundua hayupo serious,maana hatuna plan yoyote ya maisha nami sijajua ntaishi mpk liki ntafurahi nikipata mwenzi.Awe na miaka zaidi ya 30,mm nina 29 na ni mwanamke.

 16. Anonymous

  June 23, 2013 at 6:29 am

  Habari Dina?samahani ndugu yangu,nami naomba uniwekee post yangu.mm ni mwanamke mwenye miaka 29,natafuta nami mwenzi ambaye ni hiv positive,mm nipo Dar.Huyo mtu awe ni mkaka anayejitambua,na aliyejikubali ila anahitaji mwenzi maana maisha ya kuishi mwenyewe maana nami ni binadamu ndo mwanzo wa kuingia kwa watu waliosalama na kuwaletea tatizo hili,wajikuta unajiongea madhambi bure.Awe msitaarabu,anayejipenda na anayejua kupenda.Mm ukiniona nina afya tele mpk mtu labda nimwambie.Please wapendwa anitafute aliye serious,msianze jokes huwezi jua kesho,maana hakuna apendaye tatizo hili.Sina mtoto,Mungu akinijalia nipate mwenzi natarajia kutafuta angalau hata mmoja,mm mkiristo na ninampenda Mungu,huyo mtu awe na miaka 30 mpk 40.asante.Anitafute kwenye email rehemasimon2@gmail.com

  • Anonymous

   January 13, 2014 at 12:54 pm

   mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 34 nimeajiriwa na shilika moja la uma nchini,mimi pia nimuathirika nilipata maambukizi haya mwezi wa 11 mwaka 2013 nilipokwenda kunyua saluni niko mbeya kikazi japo kuwa makazi ya familia ni dsm ambapo mzee, mama na ndugu zangu wengine wapo uko, sijaoa na wala sina mtoto na nahitaji mtu wa kufunga nae ndoa mwenye hali kama hiyo, mimi ni mtu ninaye jiheshimu, mawasiliano namba ni 0654893177

 17. Anonymous

  August 3, 2013 at 11:50 am

  Za weekend dada Dina?pole na majukumu ya kazi.Dadaangu naomba nami uniwekee post yangu,nami nina hali kama za wenzangu.Mm ni mkaka mwenye miaka 35 naishi Dar&kuhusu ajira ntamjulisha tutaekubaliana.Nahitaji mdada mwenye miaka 24 mpk 30 na awe muislamu nataka kuoa kabisa na km mkristo akiwa tayari kubadili dini anitafute,ntafurahi sana atayenitafuta akiwa wa Dar au Arusha.shukrani sana,sms zote zitajibiwa jumaabdala94@gmail.com

 18. Anonymous

  November 8, 2013 at 12:01 pm

  Hata mimi pia ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 42, ni mkristo, nina maisha yangu mazuri tu. I am a good looking man, ukiniona wala huwezi kuhisi kama nimeathirika. Nyumba nimejenga ila kwa sasa naishi "home alone". Changamoto kubwa ni kumpata mwenza maana nimeathirika ingawa afya yangu ni njema kabisa, natumia dawa vizuri. Naombeni huu mradi upewe nguvu ili utusaidie tulio wengi maana umri unakwenda, tunataka kuanzisha familia tuashindwa ku propose

  • Anonymous

   April 18, 2014 at 6:21 pm

   Mungu ni mwema,lkn mm sioni km umefanya muhimu kutaja mpk mali zako,,kuwa makini kuna wengine watafata nyumba na si upendo ulio wa muhimu zaidi

 19. Anonymous

  November 27, 2013 at 5:36 pm

  November 8
  Hujaweka contacts zako

 20. Anonymous

  December 5, 2013 at 10:57 am

  Here are contacts for Nov 8: david.nalitolela@yahoo.com – sitaki mizaha tafadhali!

 21. Anonymous

  December 7, 2013 at 4:22 pm

  Bora hata umewaambia hutaki mzaha,watu wana maswali ya kijinga.M2 anaweza kutafuta then anakuuliza umesema waishi kwa matumaini ndo nn?sijui wana nn?

 22. Anonymous

  February 9, 2014 at 10:50 am

  habari za kazi dada, mimi ni huyo anonymous wa tarehe 13 jan 2014 muathirika wa vvu niliyekuwa namtafuta mchumba mwenye namba ya simu 0654893177, nashukuru nimempata tayari na nnakushukuru sana, kwa hiyo sasa naomba uniondolee hiyo taarifa yangu wengi bado wana nipigia simu

 23. Anonymous

  April 4, 2014 at 6:44 pm

  Kweli ni maisha

 24. Anonymous

  April 11, 2014 at 5:29 am

  Mimi pia ni binti miaka 24 nimegundulika kuwa nina vvu mwaka huu mwezi huu toka nimeupata huu ugonjwa ni mwezi wa kumi sasa… Nina biashara nafanya. Natafuta mwenza mwenye hali kama yangu miaka asizidi 29-39 awe anakazi nzuri,mtanashati, mkristo, mwenye heshima. Natanguliza shukran.

 25. Anonymous

  June 23, 2014 at 2:22 pm

  10th April 10:29PM, weka contact

 26. Anonymous

  August 10, 2014 at 6:19 pm

  Habari binti wa 26 natafuta mchumba awe muathirika wa vvu tuwasiliane namba 0686 445604 apende afya yake.

 27. Anonymous

  August 10, 2014 at 6:29 pm

  Habari mimi binti wa miaka 26 naishi na VVU natafuta mchumba ambaye nae anaishi na VVU awe mstarabu,anayependa afya yake umri 27-35.

 28. Anonymous

  August 10, 2014 at 6:31 pm

  Contact zangu ni 0686 445604

 29. Anonymous

  August 11, 2014 at 6:10 am

  Habari mimi binti 26 muathirika natafuta mchumba ambaye naye ni muathirika wa VVU 27-35 awe mkwli, mstarabu anayependa afya yake. 0686445604

 30. Anonymous

  August 11, 2014 at 6:18 am

  Habari binti 26 natafuta mchumba muathirika wa VVU awe mkwli,mstarabu anayependa afya yake.0686445604.

  • Anonymous

   August 28, 2014 at 11:39 am

  • Anonymous

   August 28, 2014 at 11:42 am

   Mimi ni mwanaume wa miaka 35.
   Nina Elimu ya Chuo Kikuu.Mkristo. Nategemea kuanza kazi ya kuajiriwa hivi karibuni. Ninaishi na vvu. Bado sijaanza dawa. Nina afya njema. Mke mwema anitafute mapenziuhai@gmail.com

  • Anonymous

   September 3, 2014 at 9:17 am

   naomba kama utapenda tuwasiliane namba 0766268238 mm ni mwajiriwa wa serikali mapenziuhai Tuwasiliane tafadhali

  • Anonymous

   December 7, 2014 at 12:39 pm

   Hi wapendwa!
   Mimi ni mvulana mtanzania mwenye umri wa miaka 27 ni mwajiriwa wa serikali ya Tanzania na ninaishi kwa matumaini na malengo yangu yako pale pale. Pia ni mkristo anayempenda Mungu. Natafuta mke mwema mchamungu na mwenye mapenzi ya kweli awe na umri kati ya miaka 20 hadi 28. Ambaye yuko tayari anitafute kupitia email hii: zawadimnzava89@gmail.com

  • Namala Diana

   January 2, 2016 at 3:47 pm

   Ni binti wa miaka 26, natafuta mme wa kunioa, awe mkristo mwenye hofu ya mungu, anayejiheshimu, mwenye upendo wa kweri mchapakazi, na wenye malengo.nilipata maambukizi kupitia kuhudumia mgonjwa ambaye sikujua asumbuliwa na nini hivyo sikuchukua tahadhari yoyote na alikuwa ni ndugu yangu wa damu ambaye ni kama niliachiwa na marehemu wazazi wake.atayekuwa tayari tuwasiliane

  • Anonymous

   May 7, 2016 at 6:21 am

   Mimi ni kijana wa miaka 31, pia ninaishi na vvu. Natafuta mwanamke wa miaka 25 – 32 mwenye hali kama yangu, awe na mapenzi ya kweli. E-mail yangu ni malamsha j4@gmail.com.

  • Anonymous

   May 20, 2016 at 6:16 pm

   Nipigie 0759294590

  • pendo

   April 30, 2017 at 2:36 pm

   Mm pia naitaji mume wa kunioa mwenye khali kama yangu mwenye vvu namiaka25 awe 27 mpka33 itapendeza akiwa dar

  • pendo

   April 30, 2017 at 2:36 pm

   Mm pia naitaji mume wa kunioa mwenye khali kama yangu mwenye vvu namiaka25 awe 27 mpka33 itapendeza akiwa dar

 31. Anonymous

  December 23, 2015 at 7:00 am

  Hi naitwa Salma.Naishi dar es salaam.umri wangu ni miaka 23 nilizaliwa HIV positive.ni mwalimu.Natafuta mume mkweli umri kati ya miaka 24-35.Kwa yeyote atakae kuwa tayari tuwasiliane 0687274867..But uyakapo wasiliana nami uwe serious.staki jokes na masihari this is too serious.

 32. Anonymous

  December 23, 2015 at 7:04 am

  Naitwa Salma.Naishi dar es salaam.Nina miaka 23.Ni mwalimu.Natafuta mume mkweli umri miaka24-35.Kwa mawasiliano 0687274867.Nb ukiamua kuwasiliana kuwa serious spend joke
  Hii ni very serious

 33. Anonymous

  December 23, 2015 at 7:05 am

  Naitwa Salma.Naishi dar es salaam.Nina miaka 23.Ni mwalimu.Natafuta mume mkweli umri miaka24-35.Kwa mawasiliano 0687274867.Nb ukiamua kuwasiliana kuwa serious spend joke
  Hii ni very serious

 34. Anonymous

  December 31, 2015 at 7:58 am

  Mhhh…

 35. Anonymous

  January 20, 2016 at 8:45 pm

  Hello wapedwa ni msichana 26 naishi kwa matumaini ,sijaanza dawa, nimeambukizwa kwa kumuhudumia mtu pasipo tahadhari kwani sikujua, ni mcha mungu, mwaminifu,upendo wa kweri, mnyenyekevu ! Atayeguswa Kuwait nami kama mkewe anitafute. Hutojuta Perhaps uwe na tabia mbaya! Uwe Mme mwaminifu, mwenye kupenda maendeleo, upendo wa dhati, mcheshi,mcha mungu& hofu ya mungu awe nayo,mcheshi na mwenye UTU. .

 36. Anonymous

  January 20, 2016 at 9:16 pm

  Habari wapendwa..
  Ni msichana 26, nalijigundua ni HIV+ 2010! Nilipata maambukizi kutoka kwa mtoto nilikuwa namhudumia baadada ya kuachwa na wazaziwe wote! Hivyo sikudhani kwa akili ya haraka kama ile family ingelikuwa na tatizo lile. Ndo hivyo jambo usilolijua kama usiku wa Giza nikaambukizwa nami accidentally! Ni binti nilijitunza sana lakini ndo hivyo! Vyanzo vya Hiv c ngono Tu wapedwa! Imefika wakati nahitaji Mme wa kufunga naye ndoa na kuwa kitu kimoja! Mm ni binti najijeshimu, mcha mungu, mwaminifu, mchapakazi, mpole,mcheshi. Hutojuta nakwakishia,labda wewe tu uwe huekeweki! Siitaji maisha ya stress hivyo basi mme awe mwenye utu, mchamungu, anayejiheshimu,mcheshi,anayejua nini dhamani ya mke na familia kiujumla, awe na hekima, busara & real love! Mpenda maendeleo na mpambanaji katika kuyajenga maisha ya kizazi kijacho( watoto) awe na elimu. Aliye tayari anitafute.Ahsante

 37. Anonymous

  January 20, 2016 at 9:24 pm

  Hi wapedwa..
  Ni msichana 26 yrs,

 38. Anonymous

  January 20, 2016 at 9:35 pm

  Hi wapedwa ..
  Ni msichana 26 yrs, ninaisha kwa matumaini japo sijaanza kutymia dawa, maambukizi yalitokana na huduma kwa mtoto aliyekuwa akiumwa pasipo angalizo lolote kwani sikuwa na wazo la huyo mtoto kuwa katika khari ile!! Ni msichana mtulivu,mpole,mcheshi, mcha mungu, najiheshimu sana! Napenda Mme atayewiwa kuwa nami kimaisha ya kifamilia ( ndoa) awe mwaminifu, mwenye utu, real love, mcheshi, mtanashati, mkarimu, mwenye kupenda maendeleo ili kuiweka familia katika standard lifestyle,MCHA MUNGU NA HOFU YA MUNGU AWE NAYO, aliye elimika na anaelewa nini anafanya. Hakika hutojuta.Sitaki mizaha ni kwa aliye serious Tu… Nitafute

 39. Juma Hero

  March 4, 2016 at 6:59 am

  habari zenu , mimi naitwa Houssein miaka 35 naishi ulaya Uk , nina virusi vya H.I.V ninatafuta mchumba mzuri mwenye kujijali na awe na mapenzi natafuta ndoa , e mail yangu ni hamesa@live.com

 40. Anonymous

  November 14, 2016 at 8:43 am

  habari marafiki,
  Mimi ni kijana wa kiume mtanzania mwenye umri wa miaka 29 ni mwajiliwa na naishi kwa matumaini,pia ni mkristo ninayempenda Mungu .Natafuta mke mwema umri kuanzia miaka 20-29,pia awe ameajiliwa.Ambaye yuko tayari anitafute kupitia email hii; chrissjason55@gmail.com

 41. Anonymous

  January 11, 2017 at 4:27 pm

  Hi friends am so great to get this Chance to express my feelings to ones who shares same problems as me meaning ,HIv Positive ,my age is 29 and am governmental employed am in need of true wife , charming one dedicated, with self determination , self employed or employed , the ones who cares her health and still her health is in good condition , her age 20 – 27 , religion is less concern although am Christian , Conduct me through 0712668327, or 0758414159 precautions am ready to communicate with only those who are serious on this issue.

 42. Anonymous

  January 11, 2017 at 4:33 pm

  Hi friends am so great to get this Chance to express my feelings to ones who shares same problems as me meaning ,HIv Positive ,my age is 29 and am governmental employed am in need of true wife , charming one dedicated, with self determination , self employed or employed , the ones who cares her health and still her health is in good condition , her age 20 – 27 , religion is less concern although am Christian , Conduct me through 0712668327, or 0758414159 precautions am ready to communicate with only those who are serious on this issue.

 43. pendo

  April 30, 2017 at 2:33 pm

  Habari wapendwa naitwa pendo 26naishi natafuta mtu mwenye hali kama yangu naishi na vvu miaka27 mpka33 itapendeza awe Dar afya yangu n nzuri ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie naitaji mume wa kunioa sio mpenzi

Leave a Reply