Uncategorized

KUTOKA TCRA,WALE MNAOTUMIA LINE HAZIJASAJILIWA!

By  | 
Ukikutwa
unatumia line ya simu ambayo haijasajiliwa jela miezi mitatu au faini milioni
tano au vyote viwili.
Sababu kumekuwa na hali ya watu kutishiwa maisha kila kukicha kupitia
simu za mkononi.

10 Comments

 1. emu-three

  April 9, 2013 at 6:05 am

  Hii ni nguvu ya soda au ni kweli

  • Anonymous

   April 9, 2013 at 11:27 am

   NGUVU YA SODA. NAULIZAA NIKWANINI MAKAMPUNI YASISHITAKIWE KWA KUUZA LINE AMBAZO HAZIJA SAJILIWA?? KWANINI UNAPONUNUA LINE USISAJILIWE HAPO HAPO???????

 2. MOJAONE

  April 9, 2013 at 7:18 am

  HILO HALINA MJADALA.

 3. Anonymous

  April 9, 2013 at 11:13 am

  Kalaghabao, kwani hii mitandao inafanya nini? Watamuuziaje mtu laini pasipo kuisajili????? Wakuwahukumu kwanza ni mitandao na siyo mtu binafsi.

 4. Mama 2 (Mrs M)

  April 9, 2013 at 11:28 am

  Watakuwa wametusaidia sana kama ni kweli Dina!!

 5. ruky

  April 9, 2013 at 2:47 pm

  mmmh wangeyashitaki macompuni kwanza kwa kuwauzia wanchi line bila kusajiliwa yani viongozi wetu wengine utadhani hata kidato hawajaenda

 6. Anonymous

  April 10, 2013 at 4:08 pm

  bora jela kuliko uraiani

 7. Anonymous

  April 11, 2013 at 4:54 am

  Mikwara mingine haina maudhui

 8. Leipzig

  April 11, 2013 at 5:03 pm

  Kukosa maarifa ni kitu kibaya sana, yaani watu wa TCRA wanatoa tamko kama hilo wakati wakijua wazi kuwa watoaji wa huduma za simu hapa nchini ni jukumu lao kuzuia simu isiyosajiliwa kuingizwa(rechaging vouchers) pesa na kupiga(making calls). Sijutii kutokwenda shule ndio maana Bill Gate aliacha shule mapemaaa.

 9. Cymah Wandelt

  April 15, 2013 at 6:25 am

  Kwa nini iruhusiwe kutumika? line inapaswa ianze kutumika mara tu baada ya kusajiliwa, -watu wanauawawa kwa hivyo vilaini na pia watu wanasajili majina yasiyo kwa vitambulisho feki. waongeze ukali

Leave a Reply