Uncategorized

MCHEZAJI HUYU WA MPIRA AKIFUNGA GOLI,MIZUKA YAKE HUMTUMA KUFANYA HIVI!

By  | 
Akapiga shuti kali paleeee na likawa goli…
Akachojoa bukta yake…
 Akashangilia goli………..
Ni striker wa Juventus Mirko Vucini.
Kwa kitendo hicho alilimwa kadi ya njano.

10 Comments

 1. MOJAONE

  April 9, 2013 at 7:01 am

  Angelimwa nyekundu ingekuwa bora zaidi.

 2. Anonymous

  April 9, 2013 at 8:50 am

  I jos like it ooo, abeg why yellow card abiii! Let him be ooo

 3. MOJAONE

  April 9, 2013 at 9:28 am

  Angekua Iran huyo mpaka jela angeenda zaidi ya kilo na jina lake lingefutwa kabisa ktk list ya wachezaji ktk chama cha mpira cha Iran.

 4. Anonymous

  April 9, 2013 at 12:57 pm

  That's why i always love them white tissues! Ha ha haaa, dina na wewe kha! Haya bwana ndo hivo, kibongo bongo hatuna mchezaj mwene style yake, haya sasa wabongo kazi hiyo kukopi na kupaste karibun uwanjani eeeee!

 5. Anonymous

  April 9, 2013 at 1:00 pm

  Am just being honest i love /like the second pic ee! Hot, hotter, hottest! Awwwww!

 6. emma kahere

  April 9, 2013 at 3:29 pm

  Hiz stail nyingne za ushangiliaj hizi mmh.

 7. Anonymous

  April 10, 2013 at 1:17 pm

  Lakini si haba kajazia, dina some correction: hapo ni wanawe na sio wanae.

 8. ELIUD SAMWEL

  April 11, 2013 at 8:19 am

  Hahahahaha yaliyowakuta jana na bynmunch hata hakuvua

 9. Mwangwitwa Chris

  April 12, 2013 at 5:10 pm

  mimi nimeipenda hii style ni nzuri sana

 10. Femmy

  April 14, 2013 at 5:08 pm

  Heheheheeee mzuka umepandaaa…

Leave a Reply