Uncategorized

MOVIES ZA KWENDA KUTAZAMA KAMA HUJAZIONA!

By  | 
Kama mpenzi wa movies najua upo mdau unaependa kutazama movie kama mimi.Weekend hii niliangalia movie kadhaa zikiwemo hizi hapa.Huwa napenda kuangalia movie pamoja na kuburudika pia napata kujifunza kitu zitafute hizi hapa.
Unconditional ni movie inayoelezea dada aliyekufa nafsi yake baada ya mume wake kuuwawa mpaka kufikia hatua ya kutaka kujiua.Anakuja kukutana na rafiki yake wa kiume wa utotoni anaekuja kubadili maisha yake ya simanzi na kupata matumaini mapya.Rafiki yake huyo pamoja na kuwa figo zake zimekufa zote lakini anajitolea kulea,kufundisha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu.Ile spirit,furaha ya watoto inabadilisha kila kitu na mitazamo ya dada.

Hii ni kwa wale wanandoa ambao sababu ya transformation ya umri wanajikuta wanagombana kila saa,watoto nao wa kizazi cha sasa,presha za biashara kutokwenda sawa.Mizigo ya kutokuwa na maelewano mazuri na wazazi utotoni inavyokuja kuathiri ndoa baadae.Ni comedy nzuri inachekesha na kufunza pia.

Leave a Reply