Uncategorized

MSOSI TIME:KITCHEN PARTY GALA ILIVYOKUWA!

By  | 

Picha zinaendelea…..

7 Comments

 1. SUZANNE

  April 30, 2013 at 4:43 pm

  Mbona sijamuona. Mama la mama (Gea) kiukweli mlipendeza

 2. Tina

  May 1, 2013 at 12:27 am

  Kweli watanzania ni wagumu kuelewa,na kuwatangazia kote dressing code na mifano ya picha bado naona orange,black an white too?Kweli tu wagumu kuelewa,wepesi kusahau.

 3. Anonymous

  May 1, 2013 at 5:47 pm

  Acha ushamba, haimaanishi kuwa ni kutoelewa, cdhani kwamba kutokuwa na nguo ya rangi husika ndo kumfanye mtu asihudhurie shughuli! Tuache kufanya maisha kuwa magumu jamani! Lol!!

 4. Moshi Mtambalike

  May 6, 2013 at 11:17 am

  Kusema ukweli wadada na wamama wa Tanzania wamejaaliwa uzuri. Nimependa sana mchanganyiko huu wa warembo kutoka sehemu mbalimbali kuja kukaa pamoja kusikiliza mazuri yanayomhusu mama. Dina Mwenyezi Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kuwakusanya akina Mama na kubadilishana mambo mengi wanayokabiliana nayo kila siku.

  Mama Chelsea-Tanga

 5. Moshi Mtambalike

  May 6, 2013 at 11:25 am

  Wamama na wadada wa Tanzania Mashallah Mwenyezi Mungu amewajaalia uzuri. Hususan wakikusanyika pamoja wanapendeza sana kwa kila hali. Yaani wote wamependeza mno. Dina Mwenyezi mungu aendelee kukupa hekima na busara zaidi ili uendelee kutukusanya hivi tukae pamoja kusikilizana na kusaidiana kwa mawazo. Ukijaaliwa kujipanga vizuri na wadhamini wa kutosha uje na mikoani pia Inshallah.

 6. Anonymous

  May 6, 2013 at 3:42 pm

  kiukweli nimewapenda wadada wote mlipendeza sana

 7. Anonymous

  August 29, 2013 at 11:12 am

  mmmmmh wamependeza ila wanene jaman kha fanyeni mazoez mtazeeka hapo utakuta hata miaka arobain hawan

Leave a Reply