Uncategorized

MWAKA MMOJA TOKA MUIGIZAJI STEVEN KANUMBA AFARIKI!

By  | 
Jumapili ya tarehe saba itakuwa ni mwaka toka mwigizaji Steven Kanumba afariki.Familia yake na wasanii wenzie wameandaa siku hiyo kwa kuiita Kanumba day ambapo watakutana kanisani kwa misa kanisa la kilutheri huko kimara,chakula cha mchana.Pamoja na chakula hicho wataenda makaburini kuzuru.
Jioni pale leades itaonyeshwa filamu yake ya mwisho aliyoigiza kabla hajafariki.Wapezi,wadau wote mnaweza kujitokeza kwani ni bure.

9 Comments

 1. Anonymous

  April 5, 2013 at 10:22 am

  R.I.P Kanumba, jamani tunamis sana mwenyezi mungu ampuzishe kwa amani.

 2. emu-three

  April 5, 2013 at 12:47 pm

  Oh, mwaka umeshapita, ndio dunia ilivyo…Cha umuhimu ni kumuombea makazi mema peponi

 3. SEBO

  April 6, 2013 at 7:52 am

  Rest in Peace Steve.

 4. MOJAONE

  April 6, 2013 at 1:04 pm

  Ama kweli siku zinakimbia, mwaka umeshakatika!!!

 5. Lizyney Mkalipa

  April 6, 2013 at 3:30 pm

  Apumzuke kwa amani

 6. Anonymous

  April 6, 2013 at 6:10 pm

  habari yako DINA?Samahani mimi ninashida naomba unisaidie.WIKI ILIYOPITA kwenye power breakfast ya clouds walisema wataeleza kuna mtu anatibu makovu bila hata kufanya plastic surgery.mm nilifanyiwa operation na kovu limekaa pabaya sana hadi nachukia sura yangu bahati mbaya nilikuwa safari sikuweza kusikiliza.naomba uniulizie no ya simu ya huyo mtu anisaidie au hata kama kuna mtu anamjua mtu TANZANIA anayeweza kunisaidia naomba msaada plz

 7. emma kahere

  April 7, 2013 at 11:02 am

  Maneno,matendo na ushaur wake bado vnaish.upimzike kwa aman bro

 8. emu-three

  April 8, 2013 at 9:40 am

  Iliyobakia ni kumuombea makazi mema peponi

 9. Anonymous

  April 9, 2013 at 11:31 am

  Rest in peace Kanumba, the legend.
  Plze dina na mm niko na hamasa ya kujua huyo mwenye kutoa makovu naturally.kindly do something blog us abt the issue.thank u.

Leave a Reply