Uncategorized

MWANAMAKUKA NAMBA 1 2013 ALIUNGWA MKONO KWA PICHA ZAKE KUNUNULIWA

By  | 
Picha zinaendelea za tukio la wale mwanamakuka namba 4 na 5 walipozawadiwa.Mwanamakuka namba 1 Aziza Mbogolume pia alikuwepo kama unakumbuka alijishindia Tsh 6,000,000.
 Alikuja na picha zake ambazo kina mama walizinunua zote
Mkurugenzi wa Prime time promotion  Juainna Kusaga akijinunulia picha yake

Na mie nikapewa cheti changu cha apreciation kwa mchango wangu katika kukuza shindano la wanawake wajasiriamali la MWANAMAKUKA.Kuna maonesho makubwa sana yanakuja kwa wasanii wa sanaa za maonesho kama wachoraji.Na nimaonesho ya kimataifa Tanzania itakuwa mwenyeji nikapewa nafasi ya kumpeleka Aziza Mbogolume.Nikiwa nimekamilisha taratibu nitawapa taarifa zaidi.

11 Comments

 1. grace

  April 17, 2013 at 1:07 pm

  Mwanamke wa kujivunia kweli you deserved ile tuzo ya woman of the year, am so proud of you my role model

 2. Anonymous

  April 17, 2013 at 1:48 pm

  Dina plz how can we buy those paintings from outside the country? I want them badly

 3. Chims

  April 18, 2013 at 7:48 am

  Mi pia nataka picha,nipo mkoa please naomba contact

 4. Anonymous

  April 18, 2013 at 10:13 am

  Hi dina hongera kwa kupungua na hongera kwa kaz kubwa ya kuwakomboa wanawake je kwa hapa dar hizo picha tutazipataje mie binafsi nazipenda sana

 5. Anonymous

  April 18, 2013 at 11:50 am

  hellow dina hongera kwa kazi nzuri unayoifanya, mi ombi langu ni moja tu ntapataje hizo picture au tupe no tunayoweza kumpata plizzz dina.

 6. RUKY

  April 18, 2013 at 2:48 pm

  SAFIIIIIIIIIIII SANA…

 7. ELIUD SAMWEL

  April 21, 2013 at 11:26 pm

  ULITOKELEZEAAA SANAA

 8. Anonymous

  April 30, 2013 at 6:13 pm

  DINA TUAMBIE PICHA ZINAPATIKANA WAPI JAMANI, MAANA ZINAVUTIA SANA PLS TUWEKEE CONTACT NA ADRESS TUKAJIPATIE.

 9. Anonymous

  May 22, 2013 at 1:17 pm

  hi dina, jamani picha ni nzuri sana nahitaji na mimi nijinunulie japo picha chahe naweza kupata contact na ofisi yake mahali ilipo mumy wangu?

 10. Anonymous

  May 24, 2013 at 9:40 am

  ni yupi kati ya hao wamama?uwiiiii ninazipenda sana picha izo na nnazo kwangu nimezitundika napenda sana wanwake wachoraji as ninachora pia

 11. Anonymous

  May 27, 2013 at 4:17 pm

  Duh! hivi dina unafahamu kuwa wewe ni iron lady? ongera sana mwanamke kwa kujituma kaza buti na kila kitu kitakwenda sawa mwisho wa siku!!!!!!!

Leave a Reply